Radio Tadio

Uchumi

9 March 2023, 12:45 pm

Jamii Yaaswa Kuacha Dhana Potofu katika Umiliki wa Mali

KATAVI. Jamii mkoani Katavi imetakiwa kuondokana Na dhana potofu inayomkandamiza mwanamke kupata haki ya kumiliki mali, na badala yake kuwapa haki hiyo kama ilivyo kwa wanaume. Wakizungumza Na mpanda redio fm baadhi ya wanawake mkoani hapa, wameeleza kuwa bado jamii…

30 January 2023, 7:00 am

Shirika la ndege la KLM laiomba Radhi Tanzania

Shirika la ndege la KLM limetoa ufafanuzi na kuomba radhi juu ya kusitisha safari zake za ndege kuja Tanzania pamoja na kutoa taarifa ya uwepo wa machafuko Nchini. Kupitia barua ya Meneja wa Air France-KLM Tanzania, kwa Waziri wa Ujenzi…

22 January 2023, 10:45 am

Uzalishaji wa sukari umeongezeka hapa Nchini

Katibu Mkuu wa Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah amesema kuwa uzalishaji wa sukari nchini umeongezeka hadi kufikia zaidi ya tani 70,000 na kufanya kuwa na zaidi ya tani 160,000 kwenye maghala katika kipindi cha 2022 /2023…

6 January 2023, 4:55 pm

Maumivu kwa jamii bei za vyakula zikizidi kupaa

Shirika la Chakula Duniani, FAO, limesema bei za vyakula duniani zilipungua mwezi Desemba na kuashiria kushuka kwa mwezi wa tisa mfululizo, ingawa zilifikia kiwango cha juu zaidi katika rekodi ya mwaka mzima wa 2022. Faharasa ya bei ya chakula ya…

1 December 2022, 5:05 am

Serikali iingilie kati kipindi cha mauzo ya Pamba

TANGANYIKA Wakulima wa pamba wilayani Tanganyika Mkoa wa Katavi wameiomba serikali kipindi cha mauzo ya pamba kuingilia kati na kusimamia zoezi ili kuepusha sintofahamu ambayo huwa inajitokeza kwa baadhi ya maeneo watu kutokulipwa stahiki Zao. Maombi hayo wameyatoa wakati wa…

25 October 2022, 4:05 pm

Bodi Ya Sukari Yaanza Mkakati Wa Kuongeza Uzalishaji

BODI ya Sukari Tanzania imeanza mikakati ya kuongeza uzalishaji wa sukari nchini ili kukabili na uhaba wa bidhaa hiyo ambapo wanatarajia ifikapo mwaka 2025/2026 uzalishaji wa sukari utaongezeka hadi kufikia tani laki 756. Hayo yamesemwa leo Oktoba 25,2022 jijini Dodoma…