Uchumi
26 December 2023, 18:16
ugumu wa maisha chanzo kudorora kwa sikukuu za mwisho wa mwaka maswa
Sikukuu za mwisho wa mwaka zimepoteza mwamko kwa Wananchi kutokana na kupanda kwa gharama za maisha ya kila hivyo kukosa fedha za ziada kwa ajili ya kugharamia sherehe hizo Na Alex Sayi-Simiyu Imebainishwa kuwa mabadiliko ya tabia ya Nchi na…
26 December 2023, 9:51 am
Uwt wainuana kiuchumi mkoa wa Mbeya
katika kuhakikisha wanawake wanajikwamua kichumi jumuiya ya wanawake ya chama cha mapinduzi mkoa wa mbeya wanatarajia kuanzisha saccos. RUNGWE-MBEYA Mwenyekiti wa chanma cha Mapinduzi mkoa wa Mbeya Patric Mwalunenge ametoa ushauri kwa Jumuiya ya umoja Tanzania [UWT] mkoa wa Mbeya…
13 December 2023, 15:47
Wafanyabiashara Pemba wahimizwa kulipa kodi kwa hiari
Na Is-haka Mohammed. Mamlaka ya Mapato Zanzibar(ZRA) Pemba imezindua mwezi wa kurejesha shukrani kwa mlipa kodi kwa kutoa elimu kwa wafanyabiashara na wananchi wa Manispaa ya Chake Chake juu kulipa kodi kwa hiari na kutoa risiti za Kielekronik. Katika uzinduzi…
7 December 2023, 2:05 pm
Siha yavuka lengo ukusanyaji mapato
Halmashauri Siha imevuka lengo la makusanyo ya mapato kwa kukusanya bilioni 8.24 robo ya mwaka. Na Elizabeth Mafie Halmashauri ya wilaya ya Siha mkoa wa Kilimanjaro imefanikiwa kuvuka lengo kwa kukusanya shilingi bilioni 8.24 katika robo ya Kwanza ya mwaka…
30 November 2023, 14:00
Polisi wanawake watakiwa kutafuta fursa kufikia malengo
Jeshi la polisi mkoani Dodoma linashiriki katika maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia duniani zilizoanza novemba 25 na zinatarajiwa kufikia tamati Disemba 10. Na Arafa Waziri. Maofisa wa Jeshi la Polisi wanawake Mkoani Dodoma wametakiwa kufanya kazi…
29 November 2023, 13:30
TRA Pemba warejesha shukrani kwa walipa kodi
Amesema wao kama wakala wa serikali wa ukusanyaji wa kodi kila mwaka wamekuwa na utaratibu wa kurejesha shukurani kwa walipa kodi ili waone kwamba kodi wanayoitoa hurudi kwao kwa njia tofauti ikiwemo hiyo ya kutoa misaada ya kijamii. Na Is-haka…
29 November 2023, 09:57
Serikali kutumia bilioni 40 kukarabati meli mbili ziwa Tanganyika
Serikali inatarajia kutumia jumla ya Shilingi Bilioni 40 kukarabati meli kongwe ya abiria na mizigo ya MV Liemba pamoja na meli ya mafuta ya MT Sangara yenye uwezo wa kubeba lita laki nne za mafuta ambayo matengenezo yake tayari yameanza. Akizungumza baada kutembelea na…
25 November 2023, 6:31 pm
RC Kusini Pemba: Lipeni kodi kwa maendeleo ya nchi
Mamlaka ya Mapato Tanzania( TRA) ni shirika la Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambalo lina wajibu wa kusimamia na kukusanya na kuhifadhi mapato yote kama ambavyo sheria zinasema na ni kwa niaba ya Serikali. Na Mwiaba Kombo Mkuu…
13 November 2023, 15:03
DC Mwanziva atembelea gereza la Ludewa, asisitiza uzalishaji mali
Na Josea Sinkala Mkuu wa Wilaya ya Ludewa mkoani Njombe Mhe. Victoria Mwanziva, amefanya ziara katika Gereza la Wilaya Ludewa mkoani humo. Akizungumza na viongozi mbalimbali amesema gereza la Ludewa pamoja na kurekebisha tabia za wafungwa pia lipo ili kuzalisha…
9 November 2023, 12:39 pm
Takukuru yashtukia upigaji fedha za kikundi Mbeya
Mwandishi Samweli Mpogole Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), mkoani Mbeya imefanikiwa kuokoa kiasi cha shilingi milioni 50, fedha za kikundi cha Isongole Bambo, wilayani Rungwe ambazo ni mkopo uliotolewa na halmashauri kwa ajili ya kuyawezesha makundi ya…