Radio Tadio

Uchumi

21 July 2026, 08:50

RC Kheri aagiza ununuzi wa bidhaa za ndani

RC Khei amesena kuwa matumizi ya bidhaa za ndani yataongeza kipato cha wazalishaji, kuchochea uundaji wa ajira, kuimarisha biashara na kuongeza mzunguko wa fedha ndani ya Mkoa wa Iringa. Na Hafidh Ally Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Mhe. Kheri James,…

17 July 2026, 09:26

Maonesho ya Nanenane kufungua fursa Iringa

Maonesho hayo, yanayofanyika kwa mara ya kwanza kwa ngazi ya mkoa, yanatajwa kuwa hatua muhimu ya kusogeza huduma karibu na wakulima, wafugaji na wavuvi, badala ya kulazimika kusafiri umbali mrefu kuhudhuria maonesho ya kanda. Na Hafidh Ally Mkuu wa Mkoa…

25 June 2026, 14:53

Kilosa kudhibiti uvunaji holela

Uvunaji wa mazao ya misitu unalenga kuhakikisha rasilimali za misitu zinatumika kwa manufaa ya wananchi na taifa bila kuharibu mazingira na ukichangia kuongeza mapato ya serikali na kuboresha maendeleo ya kijamii. Na Asha Madohola Watendaji wa vijiji na wenyeviti wa…

5 June 2026, 17:42

Kilosa yaunga mkono Dira ya Tanzania ya kijani 2050

Wananchi wamehimizwa kushiriki kikamilifu katika juhudi za kuifanya Tanzania kuwa ya kijani na salama kwa mazingira kwa kuzingatia kaulimbiu ya mwaka huu inayohamasisha uwajibikaji katika uhifadhi wa mazingira. Na Asha Madohola Wilaya ya Kilosa imeungana na mataifa mbalimbali duniani kuadhimisha…

4 June 2026, 15:34

Kilosa kuadhimisha siku ya mazingira

Kila mwananchi ana wajibu wa kushiriki katika upandaji miti, utunzaji wa vyanzo vya maji na matumizi endelevu ya rasilimali za mazingira ili kujenga Tanzania ya kijani na salama kwa vizazi vya sasa na vijavyo. Na Asha Madohola Wananchi wa Wilaya…

20 May 2026, 14:08

Upandaji miti kuokoa mto Mkondoa

Katika kuelekea Siku ya Mazingira Duniani, kaulimbiu ya utunzaji wa mazingira 05 Juni 2026 inaendelea kuwa wito muhimu wa kujenga taifa lenye mazingira bora na maisha endelevu. Na Mwandishi wetu Serikali imeendelea kuchukua hatua mbalimbali za kulinda mazingira na kuokoa…

13 April 2026, 17:11

TFS Kilosa yasisitiza sheria za uvunaji mazao misitu

Uvunaji wa mazao ya misitu una umuhimu mkubwa kiuchumi, kimazingira na kijamii, hususan unapofanyika kwa kufuata taratibu za Tanzania Forest Services Agency (TFS), ni nyenzo muhimu ya maendeleo, lakini usipodhibitiwa unaweza kuleta madhara makubwa kwa mazingira na jamii. Na Asha…

31 March 2026, 12:09 pm

Utelekezaji wa familia unavyoathiri malezi ya watoto

Makala hii inaelezea mwanamke ambae aliyetelekezwa na mumewake baada ya kupata ulemavu na kusababisha mzigo wa malezi kwa mzazi mmoja. Na Zaituni Juma akishirikiana na Nicholaus Mwaibale Bi Tausi ni mama wa watoto watatu mkazi wa Manispaa ya Tabora, ambaye…