Radio Tadio

Uchumi

17 September 2022, 7:24 am

Maafisa Forodha Na Wasimamizi Wa Sheria Mipakani Wapewa Kibarua

SERIKALI imewataka maafisa forodha na wasimamizi wa sheria mipakani kuendelea na usimamizi na udhibiti wa kemikali zinazodhibitiwa kwa kuzingatia ukomo wa matumizi wa kemikali hizo. Hayo yamesemwa na Naibu Katibu Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Dkt.Switbert Mkama wakati akifungua…

17 September 2022, 7:21 am

Bungeni: Wenye malimbikizo ya madeni ‘walegezewa kamba na TRA’

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Hamad Hassan Chande amesema Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), inaendelea kujadiliana na wafanyabiashara wenye malimbikizo ya kodi, ili kuwapa unafuu wa malipo kwa awamu bila kuathiri mwenendo na uendeshaji wa biashara zao. Chande ameyasema…

16 September 2022, 11:10 am

TRA YATOA ELIMU KWA WAFANYA BIASHARA WILAYANI MASWA JUU YA ULIPAJI KOD…

Mkuu  wa  Wilaya  ya Maswa  Mkoani  Simiyu  Aswege  Kaminyoge  amesema  kuwa   Wananchi  wanatakiwa  kuwa  Wazalendo  kwa  Kulipa  Kodi  ya Serikali kwa  Maendeleo  ya  Taifa. Mh  Kaminyoge  ametoa  wito  huo  kwenye  kikao kati  ya  Wafanyabiashara wilayani  hapo   na  Maafisa  wa  Mamlaka …

6 August 2022, 7:44 pm

DC MASWA AOKOA ZAIDI YA LITA 30,000 ZA MAFUTA YA DIESELI ZILIZOTAKA …

Mkuu wa  Wilaya  ya  Maswa  Mkoani  Simiyu  Aswege  Kaminyoge  ameliagiza  Jeshi  la Polisi  kuwasaka  na  kuwakamata  watu  wote  waliofanya  hujuma  za  kutaka  kuiba  Mafuta  aina  ya  Dieseli  katika  kituo  cha  Malampaka  ambapo  Ujenzi  wa  Reli  ya  Kisasa   SGR  Unaendelea. Mh  …

12/01/2022, 7:01 pm

Mikutano ya kisheria husaidia kutatua migogoro ya wananchi

Na,Rosemary Bundala Mikutano ya kisheria katika halmashauri za vijiji imetajwa kuwa njia mojawapo ya kutatua matatizo pamoja na migogoro  kwa wananchi Hayo yamezungumzwa na wanachi wa wilaya ya uvinza mkoani Kigoma Bwana VICENT LAZARO na  Bi MWAMINI JUMA  wakati wakizungumza…

15 November 2021, 3:02 pm

COP 26: Hatua za muhimu bado Vitendawili.

Kuanzia October 31 hadi Novemba 13 mwaka huuu Viongozi mbalimbali wamekutana nchini Scotland   Kushiriki katika Mkutano unaofahamika kwa jina COP ikiwa mwaka huu ni COP26. Tanzania ikiwakilishwa na VIONGOZI mbalimbali wakiongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania…

28 June 2021, 15:44 pm

Ukidhulumiwa Ardhi, fuata utaratibu

Na Karim Faida Wananchi wametakiwa kuwatumia watu sahihi pale panapotokea migogoro ya ardhi ili kupata majibu sahihi hatua ambayo itasaidia kuondokana na migogoro inayopelekea kurudisha nyuma maendeleo ya mtu mmoja mmoja na Taifa kwa ujumla. Hayo yamesemwa na Wakili Amani…

25 March 2021, 1:30 pm

Viongozi mbalimbali, wasanii Watoa heshima zao Mwisho

Na; Mariam Kasawa. viongozi, wasanii na maelfu ya wananchi wametoa heshima zao za mwisho kwa hayati Dkt. Magufuli kijijini chato mkoani geita Waziri mkuu wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Kassim Majaliwa na Makamu wapili wa Rais wa serikali…