Uchumi
30 March 2023, 3:36 pm
Vijana na watu wenye ulemavu wasumbufu kulipa mikopo asilimia 10
MPANDA Vijana na watu wenye ulemavu wametajwa kuwa ni miongoni mwa makundi sumbufu kwa kutolipa mikopo ya 10% ambayo inatolewa na halmashauri ya wilaya ya Mpanda mkoani Katavi. Hayo yamesemwa na mkuu wa idara ya maendeleo ya jamii wa manispaa…
20 March 2023, 4:59 pm
Wakulima zao la pilipili waneemeka na soko la zao hilo
MPANDA Wakulima wa zao la Pilipili Mikoa ya Katavi na Songwe wametakiwa kutumia fursa ya kujikwamua kiuchumi kwa kujizatiti katika kilimo cha zao la pilipili ambalo kwa sasa soko lake ni la uhakika na lenye fursa. Akizungumza na Mpanda radio…
16 March 2023, 12:01
Zaidi ya Mafundi smart 1800 kukutana march 17 kupeana Fursa
Kongamano la Mafundi Smart lina lenga kuonesha fursa za ajira kwa kundi hilo na kukuza kipato chao. Na Mwandishi wetu ZAIDI ya mafundi wa aina mbalimbali 1800 wanatarajia kukutana pamoja katika kongamano kubwa litakalo fanyika Mjini Iringa lengo kubwa likiwa…
15 March 2023, 18:21
Serikali kuboresha miundombinu ya mifugo katika ranchi ya Narco
Uwekezaji huo wa serikali unalenga kufanya ufugaji wa kisasa zaidi wenye tija ambao utaleta manufaa kwa taifa na wananchi kwa ujumla. Jumla ya Bilion 4.6 zimewekezwa katika ranchi ya Taifa NARCO iliyopo Wilayani Kongwa ili kuboresha miundombinu ya Mifungo. Naibu…
9 March 2023, 1:12 pm
Watu wenye ulemavu washauriwa kuchangamkia mikopo ya halmashauri
KATAVI Watu Wenye ulemavu Mkoani Katavi wameshauriwa kuchangamkia fursa ya mikopo ya asilimia mbili inayotolewa na serikali kupitia halmashauri zote nchini. Katibu wa Chama cha watu wenye ulemavu Mkoa wa Katavi Godfrey Sadala ameiambia Mpanda Radio kuwa watu wenye ulemavu…
9 March 2023, 12:45 pm
Jamii yaaswa kuacha dhana potofu katika umiliki wa mali
KATAVI. Jamii mkoani Katavi imetakiwa kuondokana Na dhana potofu inayomkandamiza mwanamke kupata haki ya kumiliki mali, na badala yake kuwapa haki hiyo kama ilivyo kwa wanaume. Wakizungumza Na mpanda redio fm baadhi ya wanawake mkoani hapa, wameeleza kuwa bado jamii…
3 March 2023, 2:51 pm
Ukaguzi wa Mapato Geti la Mfumbi Makete
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Makete William Makufwe akiangalia Magunia ya Viazi geti la Mfumbi
30 January 2023, 07:00
Shirika la ndege la KLM laiomba Radhi Tanzania
Shirika la ndege la KLM limetoa ufafanuzi na kuomba radhi juu ya kusitisha safari zake za ndege kuja Tanzania pamoja na kutoa taarifa ya uwepo wa machafuko Nchini. Kupitia barua ya Meneja wa Air France-KLM Tanzania, kwa Waziri wa Ujenzi…
22 January 2023, 10:45
Uzalishaji wa sukari umeongezeka hapa Nchini
Katibu Mkuu wa Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah amesema kuwa uzalishaji wa sukari nchini umeongezeka hadi kufikia zaidi ya tani 70,000 na kufanya kuwa na zaidi ya tani 160,000 kwenye maghala katika kipindi cha 2022 /2023…
6 January 2023, 16:55
Maumivu kwa jamii bei za vyakula zikizidi kupaa
Shirika la Chakula Duniani, FAO, limesema bei za vyakula duniani zilipungua mwezi Desemba na kuashiria kushuka kwa mwezi wa tisa mfululizo, ingawa zilifikia kiwango cha juu zaidi katika rekodi ya mwaka mzima wa 2022. Faharasa ya bei ya chakula ya…