Radio Tadio

Uchumi

26 July 2023, 6:00 pm

Madiwani Waishauri Serikali kuhusu TASAF

MPANDA Madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wameishauri serikali kuzipitia changamoto zilizopo katika mpango wa kunusuru kaya Maskini TASAF ikiwa ni Pamoja na malipo ili kuufanya mpango huo kuwa na manufaa kwa walengwa . Ushauri huo wameutoa…

16 July 2023, 12:28 pm

Masaburi: urasimu chanzo kusitishwa mikopo ya halmashauri

Urasimu chanzo cha kusitishwa kwa mikopo ya asilimia kumi kutoka mapato ya ndani ya halmashauri ambapo serikali inaandaa mfumo mwwingine ambao makundi ya akina mama vija na wenye ulemavu watatumia kupata fedha hizo. Na Adelinus Banenwa Imeelezwa kuwa serikali imeamua…

11 July 2023, 10:32 am

Wachimbaji Dhahabu wakubali kukatwa 2% ya mauzo

Kutokuwepo kwa mfumo rasmi wa utunzaji wa kumbukumbu za manunuzi na mauzo kwa wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu hali ambayo ilikuwa ikichangia wengi wao kukwepa kodi, serikali imefanya mabadiliko ya sheria ili kila mchimbaji aweze kulipa kodi. Na Mrisho…

10 July 2023, 8:42 pm

Kicheko kwa bodaboda Storm Fm ikisaidia kutatua changamoto yao

Kutokana na changamoto ya muda mrefu ya kutozwa faini iliyokuwa ikiwasumbua waendesha pikipiki katika soko la Nyankumbu mjini Geita hatimaye adha hiyo imetatuliwa baada ya Storm FM kufika na kuripoti changamoto hiyo. Na Kale Chongela Waendesha pikipiki maarufu kwa jina…

7 July 2023, 2:58 pm

Lugha ya kiswahili ni fursa ya kiuchumi duniani

Mamlaka zinazoshughulikia masuala ya ajira ikiwemo Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu zimetakiwa kuhakikisha kuwa wanaandaa na kuratibu mipango ya kutafuta nafasi za kufundisha lugha ya Kiswahili katika Nchi mbalimbali ili Watanzania waweze kwenda kutumia fursa…

30 June 2023, 10:24 am

Katavi: Kusafirisha asali lazima kibali

KATAVI Wafanyabiashara wa mazao ya nyuki manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wemetakiwa kufuata taratibu na sheria za usafirishaji wa mazao ya nyuki ikiwamo kuwa na vibali vya usafirishaji. Mpanda Radio Fm imezungumza na wafanyabiashara wanaojihusisha na uuzaji wa asali ili…

12 May 2023, 8:12 am

Kampeni ya TRA ya Tuwajibike Yawagusa Wananchi

KATAVI Wananchi Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wameeleza namna ambavyo wanapaswa kuwajibika katika ulipaji wa Kodi ili kuendelea kushiriki katika kuchangia kukuza uchumi wa nchi. Wameyaeleza hayo kutokana na kampeni ya Tuwajibike ambayo inafanywa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)…