
Siasa

8 March 2023, 5:01 pm
UWT yaweka wazi wanawake wanavyo ogopa kuwania nafasi za uongozi
Wanawake wa kata ya Bahi wilayani Bahi wamezungumzia ushiriki mdogo wa wanawake katika nafasi mbalimbali za uongozi. Na Benard Magawa. Katika kusherehekea maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani ambayo hufanyika machi 8 ya kila mwaka, wanawake wa kata ya Bahi…

22 February 2023, 2:04 pm
CCM Yawataka Wafanyakazi Kutimiza Wajibu
Serikali ya Mkoa wa Iringa imetoa taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Na Adeliphina Kutika. Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Iringa kimewataka wafanyakazi wa serikali kutambua wajibu wao wawapo kazini kwa kutatua changamoto mbalimbali za…

31 January 2023, 12:16 pm
Wazazi hakikisheni watoto wanapata elimu
Wazazi na walezi watakiwa kuhakikisha watoto wao wanapata elimu ambayo inatolewa bila malipo pamoja na kuwalea katika maadili mema kwa kuwarithisha mila na desturi njema ili kuwa taifa lenye sifa njema na maadili mema. By Asha Mado Katika kuhakikisha watoto…

28 January 2023, 9:13 am
Mkuu Wa Wilaya ya Bahi Godwin Gondwe Ahidi Kuendeleza Mazuri
Na; Bernad Magawa.Mkuu wa wilaya ya Bahi Godwin Gondwe ameahidi kuendeleza mazuri yote yaliyofanywa na aliyekuwa Mkuu wa wilaya hiyo Mwanahamisi Munkunda na kuwaahidi wananchi wa Bahi kufanya kazi kwa uwezo wake wote ili kuhakikisha kuwa wilaya hiyo inaendelea kuwa…

10 January 2023, 2:27 PM
CHAMA CHA MAPINDUZI WILAYA YA MASASI CHA MPONGEZA RAISI
Katibu mwenezi wa chama cha mapinduzi wilaya ya masasi TWAHILI SAIDI MAYOLA, amezungumza na radio fadhila juu ya tamko la raisi wa jumuhuri ya muungano wa Tanzania dkt samia suluhu hassan kuruhusiwa kwa mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa…

2 November 2021, 12:21 pm
Serikali na jamii yatakiwa kutambua umuhimu wa wanahabari ili wawe salama
Na; Fred Cheti. Ikiwa leo ni siku maalumu ya kimataifa ya kupinga ukatili dhidi ya wanahabari Duniani ripoti ya kamati ya kuwalinda wanahabari ulimwenguni(CPJ) inaeleza kuwa Mataifa 13 yamekumbwa na visa vya mauaji ya kikatili dhidi ya wanahabari. Ripoti kutoka…

13 May 2021, 10:39 am
Waandishi wametakiwa kutumia malengo endelevu kuibua changamoto za jamii.
Na; Yussuph Hans. Waandishi wa Habari wa Redio za kijamii Nchini wametakiwa kutumia malengo ya maendeleo endelevu ya 2030 katika kuibua changamoto mbalimbali zilizopo katika jamii zao kwa lengo la kuleta ufumbuzi. Hayo yamesemwa na Afisa Programu wa shirika la…

16 April 2021, 12:42 pm
Waandishi tumieni kalamu zenu kuhamasisha maendeleo ya Nchi.
Na; Benard Filbert. Wito umetolewa kwa waandishi wa habari nchini kutumia kalamu zao ili kuhamasisha maendeleo ya Nchi na si vinginevyo. Wito huo umetolewa na msemaji mkuu wa serikali na mkurugenzi wa idara ya habari maelezo Mh. Gerson Msigwa wakati…