Radio Tadio

Mazingira

30 August 2023, 5:25 pm

DUWASA yaeleza mikakati yake ya kuboresha mfumo wa maji taka

DUWASA inasema tayari bajeti imekwisha tengwa kwaajili ya kuanza ikaranbati huo. Na Yussuph Hassan. Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Dodoma DUWASA, imeweka wazi mikakati yao katika kuhakikisha inaboresha mtandao wa maji taka ambapo tayari fedha imeshategwa kwa ajili…

23 August 2023, 11:55 am

Maji ya chumvi ni kero, mkuu wa wilaya atolea ufafanuzi

Changamoto ya maji safi na salama bado ni changamoto katika baadhi ya wilaya mkoani Geita, Licha ya ukosefu wa maji akini pia chumvi ipo. Na Kale Chongela- Geita Wananchi wa Kijiji na Kata ya Bumwang’oko  Halmashauri ya mji wa Geita,…

15 August 2023, 8:31 am

Wafugaji wa Nyuki Waomba Ushirikiano kwa TAWA

NSIMBOUongozi wa wafuga Nyuki katika halmashauri ya Nsimbo mkoani Katavi wameiomba serikali Kupitia kamishna wa utunzaji wanyamapori Tanzania TAWA kuwaondolea vikwazo ambavyo vimekuwa Vikiwakwamisha katika shughuli za utafutaji. Akisoma risala mbele ya kamishna wa TAWA Tazania na Mbunge wa jimbo…

9 August 2023, 6:24 am

Wadau wa Maendeleo Washauri Utunzaji wa Mazingira

MPANDA Wadau wa maendeleo manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wameuomba uongozi wa manispaa ya Mpanda kutunza mazingira ya msitu uliopo eneo La uwanja wa azimio pamoja na kuimarisha miundombinu ya barabara inayoingia hospitali ya manispaa. Wameyasema hayo katika kikao cha…

3 August 2023, 6:26 pm

Shughuli za kibinadamu chanzo uharibifu wa mazingira Maswa

Ongezeko la mifugo na ufugaji wa kienyeji,ukataji miti kwaajili ya ujenzi,kilimo,uchimbaji madini,kuni na mkaa umetajwa kuwa chanzo cha uharibifu wa mazingira. Na,Alex Sayi. Imebainishwa kuwa shughuli za kibinadamu zimeendelea kuchangia uharibifu wa mazingira Wilayani Maswa Mkoani Simiyu. Akizungumza na Radio…

3 August 2023, 2:08 pm

Vijana watakiwa kujikita katika utunzaji mazingira

Na Fred Cheti. Wito umetolewa kwa vijana kushiriki katika utunzaji wa mazingira ikiwemo kushiriki katika kampeni mbalimbali za upandaji miti ili kusaidia kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi. Rai hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Taasisi ya Maendeleo ya vijana Mkoa…