Mazingira
6 July 2025, 02:06
Je, ni kwanini wanafungiwa ndani?
Elimu jumuishi itasaidia kutoa fursa kwa watoto wenye ulemavu kupata haki zao. Na Cosmas Clement Wazazi na walezi wa watoto wenye ulemavu wilayani Pangani Mkoani Tanga wameaswa kutoa ushirikiano kwa serikali katika kuwafichua watoto wao na kuwapa fursa ya kupata…
26 June 2025, 2:07 pm
Waandishi wapigwa msasa Katavi
Baadhi ya waandishi wa habari wakipatiwa mafunzo. Picha na Anna Mhina “Mafunzo ya leo yatatusaidia katika kuandaa habari kwa umakini” Na Anna Mhina Zaidi ya waandishi wa habari 20 mkoani Katavi wamepatiwa mafunzo ya lishe bora pamoja na ukatili kwa…
26 June 2025, 10:38
Fahamu faida watoto wenye mahitaji maalumu kupata elimu
“lengo la mafunzo hayo ni kuwaibua watoto wenye mahitaji maalumu ili kutambulika na kujumuishwa katika elimu sawa na watoto wengine.” Na Cosmas Clement Halmashauri ya wilaya ya Pangani imeanza utekelezaji wa mpango wa elimu jumuishi chini ya mradi wa Shule…
5 June 2025, 5:46 pm
Lishe bora kinga ya ugonjwa wa macho kwa watoto
Mratibu wa huduma ya macho dokta Japhet Chomba. Picha na Anna Mhina “Tunaomba tupewe elimu ya lishe bora” Na Anna Mhina Baadhi ya wananchi wa halmashauri ya manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wameiomba serikali iwape elimu ya kuwakinga watoto na…
26 May 2025, 16:03
Wanaume ni vichwa na viongozi kuweni kielezo cha kanisa Kasulu
“Wanapokutana wanaume wakatoliki na kufanya hafla mbali mbali ni moja ya kuendelea kujenga umoja ikiwemo kutiana moyo katika kuendelea kushiriki matendo ya huruma kwa kuwatunza wahitaji wenye shida mbalimbali” Na Mwandishi wetu Wanaume wa kanisa katoliki parokia ya mrubona jimbo…
20 May 2025, 16:27
Baraza la Amani Maswa wafanya kongamano kuliombea taifa, uchaguzi mkuu 2025
Lengo la Kongamano hili la Baraza la Amani ni kuwakutanisha Viongozi mbalimbali wa Dini na kukumbushana nafasi ya Viongozi hao katika kuleta amani hasa kuelekea uchaguzi mkuu utaofanyika mwaka huu pamoja na kuombea Rais Samia anapoongoza taifa kubwa kama Tanzania…
1 April 2025, 17:27
Sheikh Kwezi: Wananchi acheni kuwaazimisha akili watu wengine
“Maneno ya wanasiasa yenye viashiria vya uvunjifu wa amani yasipuuzwe lazima tuweze kuchukua hatua kwa hao viongozi maana amani tuliyonayo Kuna nchi zingine huko kila kukicha wanatafuta amani na hawajui lini wataipata hiyo amani fikra zangu tu ivi kwani sheria…
6 March 2025, 09:40
Waamini wapewa mbinu kufanikisha malengo yao
Waumini wa Dini ya Kikristo Mkoani Kigoma Wametakiwa kumtegemea Mungu pasipo kukata tamaa ili kutimiza malengo yao waliyojiwekea katika maisha yao. Na, Hagai Ruyagila Kauli hiyo imetolewa na askofu mkuu wa kanisa la FPCT Tanzania Askofu Steven Mulenga wakati wa…
28 December 2024, 20:45
DC Mwaipaya azindua rasmi Msangamkuu Beach festival
Msangamkuu Beach festival hii awamu ya nne ya tamasha hili ambapo dhamira ya tamasha hili ni kutangaza utalii wa fukwe na vivutio vilivyopo katika mkoa wa Mtwara Na Musa Mtepa Mkuu wa wilaya ya Mtwara, Mhe. Abdala Mwaipaya, leo Desemba…
17 December 2024, 18:25
Msangamkuu Beach Festival kuzinduliwa rasmi 27 Disemba 2024 Mtwara
Na Musa Mtepa Tamasha la Msangamkuu Beach Festival, linalohamasisha utalii katika mkoa wa Mtwara na kusini kwa ujumla, linatarajiwa kuzinduliwa rasmi tarehe 27 Disemba 2024 katika fukwe za Msangamkuu. Tamasha hili litapambwa na burudani mbalimbali kutoka ndani na nje ya…