Radio Tadio

Mazingira

12 September 2023, 1:28 pm

Taka kuwa biashara Zanzibar

Timu ya wataalam kutoka Jumuiya ya Mameya wa Afrika ya Kusini (AMALI) wametoa mafunzo  namna ya kutenganisha taka ngumu na taka nyepesi. Na Mary Julius. Mstahiki Meya wa Jiji la Zanzibar Mahmoud Muhammed Mussa amevitaka vikundi vya usafi kutenga fungu kwa ajili…

September 12, 2023, 7:51 am

RUWASA Ileje walia na uharibifu wa mazingira

Na Denis Sinkonde, Songwe Wakala wa maji na usafi wa mazingira vijijini RUWASA wilayani Ileje mkoani Songwe walia na changamoto ya uharibifu wa vyanzo vya maji hali inayopelekea baadhi ya miradi kutotoa maji kama ilivyokusudiwa.  Hayo yamebainishwa na mratibu wa…

September 11, 2023, 1:12 pm

Wananchi waliovamia ardhi Ileje watakiwa kuondoka

Wananchi waliovamia maeneo yaliyotengwa na wananchi katika kijiji cha Shinji wilayani Ileje mkoani Songwe watakiwa kuondoka Na Denis Sinkonde Agizo hilo limetolewa na mkuu wa wilaya hiyo Farida Mgomi wakati akizungumza na wananchi hao katika mkutano wa hadhara uliofanyika kijijini…

September 11, 2023, 12:51 pm

Wananchi waliovamia maeneo watakiwa kuondoka

Wananchi waliovamia maeneo yaliyotengwa na wananchi katika kijiji cha Shinji wilayani Ileje mkoani Songwe watakiwa kuondoka Na Denis Sinkonde, Songwe Agizo hilo limetolewa na mkuu wa wilaya hiyo Farida Mgomi wakati akizungumza na wananchi hao katika mkutano wa hadhara uliofanyika…

6 September 2023, 1:07 pm

Mkurugenzi Bunda Mji aonya uchafuzi wa mazingira

Mkurugenzi Mkongo amesema wameazimia kutoa maelekezo kwa wafanyabiashara wote hasa wenye maduka kuwa na vitunza taka katika maeneo yao huku wamiliki wa baa na hoteli kuwa na vitunza taka vya aina tatu kwa ajili ya taka ngumu, zinazooza na chupa.…

5 September 2023, 2:40 pm

Maji yakwamisha muitikio wa upandaji miti

Serikali pamoja na wadau mbalimbali wameendelea kuhamasisha jamii juu ya suala la upandaji wa miti ambapo kwa mujibu wa wataalam wanaeleza kuwa miti imekuwa na faida nyingi katika kutunza mazingira. Na Diana Masai. Pamoja najitihada mbalimbali za wadau wa mazingira…