Radio Tadio

Mazingira

2 August 2023, 3:43 pm

Wakazi wa Fatina walalamika maji taka kutiririka mtaani

Hivi karibuni kumekuwa na changamoto ya kuzibuka kwa chemba za maji taka na kutiririsha maji katika mtaa wa Fatina, ambapo kwa mujibu wakazi wa eneo hilo chemba hizo huchukuwa takribani hadi muda wa siku 10 katika kuzibuliwa. Na Mariam Msagati.…

28 July 2023, 1:11 pm

Wadau wa mazingira watakiwa kuanza kuandaa vitalu vya miti

Ama kweli penye nia pana njia haijalishi ni kianganzi ama masika lakini zoezi la upandaji miti limeendelea kufanyika. Na Mindi Joseph. Mkuu wa wilaya ya Dodoma Jabiri Shekimweri amewaomba wadau wa mazingira kuanza kuandaa vitalu vya upandaji miti kwa msimu…

26 July 2023, 08:06 am

Waziri Jafo ataka tathmini ya Mazingira ifanyike

Mamlaka ya bandari imepewa miezi mitatu ili kufanya ukaguzi wa mazingira (Environmental Audit) ili kuhakikisha Kuna ubora wa biashara ya makaa ya mawe Na Grace Hamisi Waziri wa nchi ofisi ya makamu wa Rais muungano na mazingira Mh. Selemani Jafo,…

30 June 2023, 10:07 am

Mpimbwe: Juhudi ziongezwe uhifadhi mazingira

MLELE Jamii katika halmashauri ya Mpimbwe wilaya ya Mlele mkoani Katavi imeaswa kuongeza juhudi katika kuhifadhi mazingira. Akifungua mkutano wa mwaka wa Jumuiya za watumia maji ngazi ya Jamii zilizo chini ya wakala wa usambazaji Maji na usafi na mazingira…

26 June 2023, 1:37 pm

NEMC, TBS zakutana kujadili katazo vifungashio vya plastiki

Vifungashio visivyo kidhi ubora vinatajwa kuleta athari katika mazingira. Na Fred Cheti. Baraza la uhifadhi na usimamizi wa  mazingira (NEMC) limekutana na shirika la viwango nchini (TBS) na kufanya kikao kazi kwa lengo la utekelezaji wa katazo la matumizi ya…

24 June 2023, 9:38 am

Mafinga Mji wagawa vifaa vya usafi

Na Sima Bingileki Halmashauri ya Mji Mafinga imekabidhi vifaa 11 vya kutunzia taka kwa uongozi wa Stendi Kuu ya mabasi Mafinga na Stendi ya Matanana lengo likiwa ni Kuimarisha Usafi wa Mazingira na uhifadhi mzuri wa taka hasa katika maeneo…