Radio Tadio

Mazingira

3 Januari 2024, 14:11

Kibondo na mkakati wa kuongoza kwa usafi wa mazingira kitaifa

Halmashauri ya wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma imeanzisha mkakati wa kuhakikisha usafi wa mazingira unaimarishwa ili kujiweka katika nafasi nzuri za ushindani wa usafi wa mazingira kitaifa hali itakayosaidia kuepuka magonjwa yatokanayo na uchafu ikiwemo kipindu pindu. Hayo yamebainishwa na afisa…

15 Disemba 2023, 2:23 um

Wananchi waaswa juu ya usafi wa mazingira

Wananchi Katavi washauriwa kuweka mazingira katika hali ya usafi ili kutokomeza mazalia ya mbu. Na Leah Kamala – Mpanda Wananchi Maanispaa ya Mpanda mkoani Katavi  Katavi wameshauriwa kuweka mazingira katika hali ya usafi ili kutokomeza mazalia ya mbu katika msimu huu…

11/12/2023, 16:29

Kyela:”Tunaogopa kuingia mtoni kisa mamba”

Baadhi ya wananchi wanaouzunguka mto mbaka hapa wilayani Kyela wameiomba serikali ya halmashauri ya wilaya kyela kuwavuna mamba wanaongezeka kwa kasi katika mto mbaka. Nsangatii Mwakipesile Kufuatia ongozeko la wanyama aina ya mamba ndani yam to mbaka hapa wilayani Kyela…

06/12/2023, 18:06

Wananchi Kyela wakimbia nyumba zao kwa harufu ya mizoga

Wakaazi wa kitongoji cha roma wanaokizunguka kizimba cha Roma wameitaka serikali ya mamlaka ya mji mdogo wa Kyela kuziondoa taka zinazozagaa katika kizimba hicho ili kujikinga na magonjwa ya mlipuko. Na Nsangatii Mwakipesile Kufuatia kuwepo kwa kadhia ya harufu mbaya…

4 Disemba 2023, 17:46

Uyole watumia vichaa kutupa taka mitaroni

Na Samwel Ndoni Baadhi ya wakazi wa bonde la Uyole jijini Mbeya wanadaiwa kuwatumia watu wenye ulemavu wa akili ‘vichaa’  kutupa taka kwenye makazi ya watu na mitaro huku wakiwalipa ujira wa sh.500. Hatua hiyo inatajwa kukwamisha juhudi za usafi…