Maendeleo
16 November 2023, 10:23 am
Watendaji wa Kata Mafinga Mji wakabidhiwa Pikipiki.
Na Mwandishi Wetu. Jumla ya pikipiki 7 zenye thamani ya shilingi 22,129,100/-zimekabidhiwa kwa watendaji wa Kata nne za pembezoni na wakusanya mapato Katika Halmashauri ya Mji Mafinga ili kuboresha utendaji kazi na ukusanyaji wa Mapato. Mkuu wa Kitengo cha Usimamizi…
9 November 2023, 14:55
Serikali yaombwa kuharakisha ujenzi wa daraja Chunya
Na mwandishi wetu Wanachi wa vijiji Lualaje na Mwiji kata ya Lualaje halmashauri ya wilaya ya Chunya mkoani Mbeya wameiomba serikali kuharakisha ujenzi wa daraja la Lualaje linalounganisha kata hiyo na Mapogolo wilaya ya Chunya kabla ya msimu wa mvua…
8 November 2023, 16:06
RAS Seneda apongeza ujenzi miradi halmashauri ya wilaya Momba
Katibu tawala mkoa wa Songwe Bi. Happiness Seneda ameanza rasmi ziara yake ya siku tatu katika halmashauri ya wilaya ya Momba ikiwa ni ufuatiliaji wa miradi ya serikali ambapo pia ameongozana na wajumbe wa timu ya sekretarieti ya mkoa wa…
8 November 2023, 13:39
Takukuru yabaini mapungufu kwenye miradi minne ya maendeleo Kigoma
Vitendo vya rushwa vimeendelea kushamiri katika utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo hapa nchi hali inayochangia baadhi ya miradi hiyo kushindwa kukamilika kwa wakati. Na, Lucas Hoha Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Takukuru mkoa wa Kigoma imebaini mapungufu…
7 November 2023, 6:30 pm
Polisi Geita: Mikopo ya pikipiki iende sambamba na mafunzo ya udereva
Ajali za barabarani zaliibua Jeshi la Polisi juu ya mikopo holela ya pikipiki kwa vijana isiyozingatia usalama wao. Na Mrisho Sadick – Geita Jeshi la Polisi mkoani Geita limezitaka kampuni na watu binafsi wanaotoa mikopo ya pikipiki kwa vijana kuingia…
1 November 2023, 7:40 pm
Madiwani Rungwe waonywa kuingilia majukumu ya watendaji
Mkurugenzi wa halmashauri ya Busokelo wa pili kutoka kulia akijiandaa kusoma majina ya waliopata tuzo. Kutokana na baadhi ya madiwani kuingilia majukumu ya watendaji wa vijiji, imeelezwa imekuwa sababu ya kutofanya majukumu yao ipasavyo. Na Evodia Ngeng’ena : Rungwe- Mbeya…
October 31, 2023, 10:43 am
Serikali yazidi kuimarisha miundombinu ya barabara na maji Nyasa
Serikali yazidi kuimarisha miundombinu ya barabara na maji Nyasa Mkuu wa wilaya ya nyasa MH.FILBERTO HASSAN SANGA amewahasa wananchi kutumia vizuri fursa za uchumi zinapojitokeza hasa kilimo na uvuvi kwa kuwa ndio shughuli tegemezi na zinazofanywa na watu wengi wilayani…
27 October 2023, 9:02 am
UWT Taifa wampa kongole mwakilishi Zawad wa Konde
Umoja wa wanawake Tanzania UWT taifa umeandaa utaratibu wakutembelea miradi mbali mbali ambayo inafanywa na Serikali ya Tanzania pamoja na ya Zanzibar lengo likiwa ni utekeleaji wa ilani ya uchaguzi ya mwaka 2020-2025 ya CCM kwa wananchi juu ya kuwapelekea…
25 October 2023, 5:26 pm
Airpay Tanzania kuwa mkombozi wa uchakavu wa noti nchini
Na Mary Julius. Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Dkt. Saada Mkuya Salum amesema kuzinduliwa kwa mfumo wa kufanya malipo kwa njia ya mtandao wa Airpay Tanzania utaisadia noti za Tanzania kuwa katika mzunguko kwa muda mrefu. Waziri Saada ameyasema…
24 October 2023, 8:19 pm
Mabasi mabovu 19 yapigwa stop kusafirisha abiria Geita
Kutokana na uwepo wa ajali nyingi mwisho wa mwaka zinazochangiwa na matumizi ya magari mabovu , watu kutozingatia sheria za usalama barabarani , Jeshi la Polisi limekuja na mwarobaini wa matukio hayo. Na Mrisho Sadick: Jeshi la Polisi Mkoani Geita…