Radio Tadio

Habari za Jumla

24 October 2025, 17:26

Jeshi la zimamoto Kigoma lapata mitambo mipya

Jeshi la zimamoto na uokoaji Mkoani Kigoma limepokea mtambo wa kisasa wa kuzima moto na vitendea kazi vitakavyowezesha kuboresha upatikanaji wa huduma za zimamoto kwa wananchi. Na Orida Sayon Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Balozi Simon Sirro amekabidhi magari manne…

24 October 2025, 9:40 am

Vijiji 40 kunufaika na kilimo cha umwagiliaji Manyara

Uchimbaji wa visima virefu 40 vya umwagiliaji, katika vijiji 40 vya Wilaya tano za mkoa wa Manyara kuwanufaisha wananchi Zaidi ya 650 kwa awamu ya kwanza Na Mzidalfa Zaid Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga, amezindua uchimbaji wa visima…

22 October 2025, 12:45 pm

TAKUKURU Mpanda yaeleza athari za rushwa kipindi cha uchaguzi

Afisa wa TAKUKURU Leonard Minja akizungumza na Mpanda radio. Picha na Anna Mhina “Rushwa ikifumbiwa macho hupelekea jamii nzima kuathirika” Na Samwel Mbugi Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Katavi imeweka bayana athari zitokanazo na rushwa…

20 October 2025, 22:23

Dkt. Nanauka aahidi kuimarisha uchumi Mtwara

Dkt. Joel Nanauka, mgombea ubunge Mtwara Mjini kwa tiketi ya CCM, ameahidi kuimarisha uchumi wa mji huo, kukuza ajira na kuwawezesha wajasiriamali endapo atachaguliwa. Pia amesisitiza utekelezaji wa miradi mikubwa ya maendeleo kwa kushirikiana na Serikali Na Musa Mtepa Mtwara,…

20 October 2025, 10:38 am

Wananchi Qash waahidiwa maji na barabara

Wananchi wa kata ya Qash na Vitongoji vyake iliyopo Wilayani Babati mkoani Manyara wameahidiwa maji safi na salama pamoja na ujenzi wa Barabara itakayounganisha maeneo mbali mbali ya kata hiyo na Kata nyingine za jirani.  Hayo yamebainishwa na mgombea ubunge…