Radio Tadio

Habari za Jumla

16 October 2025, 14:49

Mchango wa wanaume  ni chachu ya ushindi kwa wanawake 2025

Na Ivan Mapunda. Zanzibar ya sasa inashuhudia mabadiliko makubwa katika ushiriki wa wanawake katika uongozi, ikilinganishwa na enzi za zamani. Kwa mara ya kwanza tangu Mapinduzi ya 1964, wanawake wanashikilia nafasi muhimu, ikiwa ni pamoja na Katibu Mkuu Kiongozi na…

13 October 2025, 16:34

Ameir awataka wazanzibari kujiandaa kwa Posho ya laki tano

Mgombea wa urais wa Zanzibar kwa tiketi ya  Chama cha Demokrasia Makini,  Ameir Hassan Ameir, amesema mpango wa kutoa posho ya shilingi 500,000 kwa kila Mzanzibari kila mwezi si ndoto bali ni dira inayotekelezeka kwa kupanga vipaumbele vya maendeleo na…

11 October 2025, 11:08

Barabara za mitaa zatajwa kipaumbele ACT-Wazalendo Mbasa

ACT-Wazalendo kupitia Mgombea Udiwani wa Kata ya Mbasa amesema Mbasa sio sehemu ya kushindwa kupitika Na Katalina Liombechi Mgombea udiwani wa Kata ya Mbasa kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Goodluck Msowoya, amezindua rasmi kampeni zake kuelekea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 29,…

6 October 2025, 19:12

Bil 1.6 kunufaisha kiuchumi vijana wa kike

Katika Halmashauri ya Mji wa Ifakara, utekelezaji wa mradi huu unafanyika katika kata za Katindiuka, Signali, Kiberege, na Kisawasawa, ambako vijana wanalengwa moja kwa moja kwa ajili ya kupata mafunzo, mitaji, na vifaa vya kuendeleza kilimo cha kisasa chenye tija…

5 October 2025, 7:11 pm

Wananchi Mpanda walia na wachimba madini

Mkuu wa wilaya ya Mpanda Jamila Yusuph akitoa maelekezo kwa wawekezaji. Picha na John Benjamin “Kuanzia leo nafunga shughuli zote za uchimbaji” Na John Benjamin Wananchi wa Kijiji cha Mtisi wilaya ya Mpanda mkoani Katavi wamelalamikia uwepo wa wawekezaji  watatu…

5 October 2025, 11:45

Mch Mstaafu Mwaisango waumini ombea Tanzania

kuelekea uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika tarehe 29,Oktoba 2025 viongozi wa dini wameendelea kuhimiza waumini kuombea taifa ili kuvuka salama. Na Ezekiel Kamanga Mchungaji Nelson Mwaisango Mwenyekiti pia Katibu mstaafu wa Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Kusini amewataka waumini wa…