Radio Tadio

Habari za Jumla

21 September 2025, 8:40 am

JKT Itaka wafundisha utengenezaji mkaa mbadala

Ikiwa ni utekelezaji wa agizo la serikali la matumizi ya nishati safi Na Stephano Simbeye KIKOSI cha Jeshi la kujenga Taifa (JKT) 845KJ Itaka wilaya ya Mbozi mkoani Songwe kimeanza kufundisha jinsi ya kutengeneza mkaa mbadala kwa kutumia taka za shambani.…

20 September 2025, 1:50 am

Ndalichako atajwa daraja la mawe Nyantale

“Kukamilika kwa daraja hili tunapaswa kuwapongeviongozi wetu wa kipindi cha utekelezaji mradi huu mbunge wetu Ndalichako kwa kweli kwenye hili tunakukumbuka sana na ninaomba tumpigie makofi kwa jitihada ulizozifanya unasitahili pongezi kwa kushirikiana na viongozi hadi kukamilika kwa daraja hili”…

17 September 2025, 6:19 pm

Mwenge wa Uhuru Kasulu kupitia miradi ya bilioni 2.75

Leo Septemba 17, 2025 Mkuu wa Wilaya ya Kasulu Mhe. Kanal Isack Mwakisu amepokea mwenge wa Uhuru 2025 na wakimbiza Mwenge kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Kibondo Mhe. Kanal Aggrey Magwaza huku akiwakaribisha wote waliojitokeza katika makabidhiano hayo. Na;…

15 September 2025, 10:53 pm

Miti 8000 yapandwa kilele maadhimisho Mara day

Mkuu wa Mkoa wa Mara Kanali Mtambi amesisitiza umuhimu wa kuimarisha juhudi za pamoja za uhifadhi, pamoja na kuendeleza mshikamano baina ya jamii zinazozunguka bonde hilo. Na Catherine Msafiri, Maadhimisho ya Mara Day yamehitimishwa leo 15 septemba 2025 katika viwanja…

14 September 2025, 8:59 am

Manyara kudhibiti ukondefu

Mkuu wa mkoa wa Manyara Queen Sendiga amewataka maafisa lishe kukomesha tatizo la ukondefu mkali na utapiamlo Kwa kuifikia jamii na kutoa elimu Ili kudhibiti tatizo Hilo. Na Mzidalfa Zaid Sendiga ametoa kauli hiyo Leo katika kikao Cha tathimini ya…

13 September 2025, 2:22 pm

Katibu wa vijana CHADEMA Nyarugusu ajiunga CCM

Vyama mbalimbali vya siasa nchini vimeendelea na kampeni ya kunadi sera za ila i ya vyama vyao kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025. Na: Mwandishi wetu Aliyekuwa Katibu wa Baraza la Vijana la CHADEMA (BAVICHA) kata ya Nyarugusu,…

11 September 2025, 12:22 pm

Wagonjwa Katavi wanufaika na simba day

Mashabiki wa simba wakitoa zawadi kwa uongozi wa kituo cha afya Itenka. Picha na Anna Mhina “Tunawashukuru sana wanasimba kwa kutukumbuka” Na Anna Mhina Jamii imeshauriwa kujitokeza katika kushiriki shughuli za kijamii ikiwemo uchangiaji wa damu katika vituo vya afya…

11 September 2025, 9:43 am

RC Sendiga asikiliza na kutatua kero za wananchi

Mkuu wa Mkoa wa Manyara Queen Cuthbert Sendiga  amesikiliza na kutatua kero za wananchi kutoka wilaya zote za Mkoa wa Manyara katika kikao kilichofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa. Na Mzidalfa Zaid Katika kikao hicho Sendiga amesikiliza…

10 September 2025, 09:28

RC Kigoma ahimiza viongozi wa dini kuhubiri amani

Serikali ya Mkoa wa Kigoma kwa kushirikiana na Serikali Kuu imesema itaendelea kusimamia Sera na mikakati ya kudumisha amani, usalama na Maendeleo kwa wananchi wa Mkoa wa Kigoma. Na Hagai Ruyagila Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, IGP Mstaafu Balozi Simon…