Radio Tadio

Habari za Jumla

11 Julai 2025, 10:53 um

TMDA yawaonya wananchi kuuza dawa sehemu za minada

Wafanya biashara wa dawa za mifugo mkoani Manyara wametakiwa kuacha Tabia ya kuuza dawa hizo katika minada au sehemu ambayo haitambuliwi na serikali kwani dawa hizo zinakuwa zimepoteza ubora na ufanisi. Na Mzidalfa Zaid Wito huo umetolewa Leo  na afisa…

11 Julai 2025, 7:02 um

Nini sababu ya wanawake kushindwa kujitokeza kugombea?

Je nini hasa sababu inayopelekea wanawake mkoani Geita kuwa na mwitikio mdogo wa kujitokeza katika kugombea nafasi za uongozi?? Karibu kusikiliza makala maalumu ambayo imeangazia suala hili kwa kina zaidi. Muandaaji ni Ester Mabula na Amon Mwakarobo

9 Julai 2025, 09:51

Wananchi wapewa elimu kujikinga na majanga ya moto Kigoma

Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoani Kigma limewataka wananchi kuendelea kuchukua hatua za kukabiliana na majanga ya moto ambayo yanaweza kujitokeza katika maeneo yao. Na Esperance Ramadhan Baadhi ya Wananchi Mkoani Kigoma wamepatiwa elimu ya kuzima moto pindi linapotokea tatizo…

8 Julai 2025, 14:47

CUF yawasha moto Pemba wagombea wa maslahi binafsi kupigwa chini

Na Is-haka Mohammed. Chama cha Wananchi CUF kimedhamiria kufanya tathmini ya kina ya wagombea watakaosimamishwa katika nafasi mbalimbali za uongozi, kwa lengo la kuhakikisha wanachaguliwa viongozi wenye sifa ya uzalendo na utayari wa kuwatumikia wananchi, si kwa maslahi binafsi.Akizungumza katika…

7 Julai 2025, 7:42 um

DC Mpanda wekeni akiba ya chakula

Mkuu wa wilaya ya Mpanda Jamila Yusuph. Picha na Samwel Mbugi “Bei zimepanda niwaombe tukumbuke kuweka akiba ya chakula” Na Samwel Mbugi Mkuu wa wilaya ya Mpanda Jamila Yusuph amewahimiza wananchi kutunza chakula hususani katika kipindi hiki cha mavuno ambapo…

4 Julai 2025, 16:18

Simiyu:Matukio 92 ya ajali migodini yaacha vilio

“Hakuna maendeleo ya vitu bila watu lazima tuendelee kutoa elimu ya usalama kwa wachimbaji wadogo wa madini ili kupunguza au kumaliza matukio ya wachimbaji wadogo maana kila kukicha tunaona vifo,majeruhi na ulemavu wa kudumu hivyo mamlaka husika zinao wajubu mkubwa…

4 Julai 2025, 3:40 um

Kinnapa na mpango wa kuwarudisha watoto wakike shuleni

Picha ya mkurugenzi wa KINNAPA Abraham Akilimali, akizungumza na waandidhi wa habari na wadau mbalimbali wa maendeleo Wito umetolewa kwa waandishi wa habari Babati Mkoani Manyara kuendelea kuhamasisha sera ya haki ya kuwarudisha watoto wa kike shuleni. Na Linda Moseka…