Radio Tadio

Habari za Jumla

11 November 2025, 5:12 pm

RC Sendiga azindua majiko banifu

Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga, amezindua rasmi mradi wa uuzaji na usambazaji wa majiko banifu kwa bei ya ruzuku mkoani Manyara ambapo Uzinduzi huu ni sehemu ya utekelezaji wa mkakati wa kitaifa wa upatikanaji na uhamasisha wa matumizi…

29 October 2025, 10:49 am

DC Kiteto ajitokeza kupiga Kura

Mkuu wa wilaya ya Kiteto Remidius Mwema, amesema hali ya usalama katika wilaya yake imeimarika katika vituo vyote vya kupigia kura na kuwataka wananchi kuendelea kujitokeza kupiga kura Ili wawachague viongozi wanaowataka. Na Mzidalfa Zaid Mwema amesema hayo wilayani Kiteto…

28 October 2025, 6:20 pm

Jeshi la polisi Manyara laimarisha usalama kuelekea October 29

Jeshi la polisi mkoani Manyara limesema  kuwa limejipanga kuimarisha  ulinzi na usalama siku ya uchaguzi mkuu ambao unatarajia kufanyika october 29 mwaka huu. Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake,kamanda wa jeshi la polisi mkoani Manyara Ahmed Makarani, amesema jeshi…

28 October 2025, 9:52 am

Athari za rushwa kipindi cha uchaguzi

Afisa TAKUKURU mkoa wa Katavi Leonard Minja. Picha na Anna Mhina Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Katavi imeweka bayana athari zitokanazo na rushwa katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025.…

25 October 2025, 16:37

RPC Mbeya aongoza wananchi mbio za pole

kutokana kiongozi mbio za mwenge mwaka huu kuitaja halmashauri ya Mbeya kuibuka washindi wa mbio hizo wamefanya tafrija ya kujipongeza pamoja na wananchi. Na Ezra Mwilwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishina Msaidizi Mwandamizi (SACP) Benjamin Kuzaga ameongoza mbio…

25 October 2025, 15:16

Makarani 792 wa uchaguzi Maswa wapewa somo

Makarani  waongozaji  wapiga  Kura  katika  Jimbo la  Maswa  Mashariki na Jimbo la  Maswa Magharibi wameaswa  kuzingatia  Kanuni, Miongozo  na  Sheria  za  Uchaguzi   zilizotolewa na Tume Huru ya  Taifa ya Uchaguzi  ili kuepuka  migogoro isiyokuwa ya lazima Nasaha  hizo zimetolewa  na …

24 October 2025, 8:47 pm

Serikali yalipa fidia bilioni 2.9 Manyara

Kaya (28) za maeneo ya Msasani Maisaka A na Maisaka Kati Wilayani Babati, mkoa wa Manyara zimelipwa fidia ya bilioni 2.9 baada ya maeneo yao kuchukuliwa  na serikali kwa matumizi ya huduma za kijamii. Na Mzidalfa Zaid Taarifa ya malipo…

24 October 2025, 6:03 pm

Reuben Sagayika atembelea wananchi mbalimbali Kalangalala

Zimesalia siku 4 ili wananchi nchini waweze kushiriki haki ya msingi na ya kikatiba ya kupiga kura kuchagua madiwani, wabunge na Rais. Na: Ester Mabula Mgombea Udiwani wa kata ya Kalangalala kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Reuben Sagayika…

24 October 2025, 5:54 pm

Watumishi wa mahakama wahimizwa kutenda haki

Mkuu wa mkoa wa manyara Queen Sendiga amehimiza watumishi wa mahakama kufanya kazi kwa uadilifu, ambapo amesema kwa sasa malalamiko ya kuzilalamikia mahakama yamepungua Na Mzidalfa Zaid Mkuu wa mkoa wa Manyara Queen Sendiga amewataka wajumbe wa kamati ya maadili…