Radio Tadio

Elimu

9 January 2024, 9:01 pm

Ndugai akerwa na wanafunzi wanaojifelisha darasa la saba

March 14 mwaka 2023 Halmashauri ya wilaya ya Kongwa kupitia kwa mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya hiyo white zuber ilitangaza kuanza kuwanunulia mahitaji yote ya msingi wanafunzi wenye wazazi wasiojiweza kiuchumi watakaofaulu na kuchaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza. Na…

9 January 2024, 17:39

madarasa 38 shule za sekondari yakamilishwa wilayani kakonko

Serikali wilayani Kakonko mkoani Kigoma imekamilisha ujenzi wa vyumba 38 vya madarasa katika shule za sekondari wilayani humo hatua itakayowezesha wanafunzi wote waliochaguliwa kidato cha kwanza kuanza masomo kwa wakati  Ujenzi huo uliogharimu shilingi milioni 760 umeambatana na utengenezwaji wa…

8 January 2024, 17:31

RC Kigoma aagiza shule zote kutoa chakula kwa wanafunzi

Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Kamishna jenerali mstaafu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Thobias Andengenye, amefanya ziara ya Kushitukiza kwa Baadhi ya Shule za Msingi na Sekondari za Halmashauri za Wilaya ya Kigoma na Manispaa ya Kigoma Ujiji, na…

8 January 2024, 2:22 pm

RC Dendego aagiza wanafunzi wapokelewe bila kikwazo

Na Joyce BugandaMkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Halima Dendego amewaagiza Walimu na Wakuu wa Shule wote Mkoani humo kuwapokea bila vikwazo wanafunzi wote wanaojiunga na kidato cha kwanza na wale wanaoanza elimu ya msingi. Ameyasema hayo leo wakati wa…