Elimu
June 8, 2023, 2:26 pm
Makete: Zaidi ya shilingi mil. 300 kujenga shule ya msingi Ighala-Ikuwo
Mkuu wa Wilaya akizungumza na Wananchi wa Kijiji cha Ikuwo na kuwaeleza dhamira ya Serikali kuboresha miundombinu ya Elimu nchini
8 June 2023, 9:49 AM
Mkuu wa wilaya Masasi, viongozi wa dini wakutana apokea maoni
Mkuu wa wilaya ya Masasi Lauter Kanona amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi mbalimbali wa kimila na kidini ndani ya wilaya hiyo, mazungumzo yaliyolenga kujitambulisha mbele ya jamii hiyo na kupokea maoni mbalimbali kutoka kwao. Miongoni mwa mambo ambayo yamejadiliwa…
31 May 2023, 1:17 pm
Wazazi Mbwanga wahimizwa kusimamia malezi kukomesha utoro
Wananchi wamehimizwa pia kuendelea kutunza mazingira kwa kushiriki katika upandaji miti. Na Fred Cheti. Wazazi wa mtaa wa Mbwanga kata ya Mnadani mkoani Dodoma wamehimizwa kusimama vizuri katika malezi ya watoto ili kupunguza utoro wa wanafunzi unaotajwa kukithiri kwenye baadhi…
29 May 2023, 9:54 AM
Mkurugenzi MTWANGONET Mtwara ahimiza jamii kupunguza vitendo vya kikatili
MASASI Ili kutokomeza vitendo vya ukatili katika jamii , mkurugenzi wa asasi isiyo ya kiserikali kutoka mkoa wa Mtwara MTWANGONET, Fidea Luanda amesema ni wajibu wa kila mmoja katika katika jamii ukatimiaza majukumu yake ili kupunguza vitendo vya kikatili. Fidea …
25 May 2023, 7:10 pm
Berege: Madereva malori wapatiwe elimu ya kujilinda dhidi ya kemikali
Ameiomba serikali kutumia nguvu kubwa ya kulinda sekta ya uchukuzi Ili iendelee kuajiri madereva. Na Fred Cheti. Wito umetolewa kwa wamiliki wa malori nchini kuhakikisha madereva wao wanapewa elimu kwa ufasaha Ili waweze kujilinda na wasipate madhara wakati wa usafirishaji…
23 May 2023, 5:44 pm
Madereva bajaji Iringa waanza mafunzo kupata leseni za udereva
Na Frank Leonard Madereva bajaji 132 wa mjini Iringa wameanza mafunzo ya udereva yatakayowawezesha kupata leseni za kuendesha vyombo hivyo vya moto baada ya mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Iringa Daudi Yassin kuahidi kubeba gharama zake. Mafunzo…
18 May 2023, 7:41 pm
Aga Khan Foundation yaja na mafunzo endelevu ya walimu kazini kukuza taaluma Rua…
Kaimu mkurugenzi halmashauri ya wilaya ya Ruangwa ambaye pia ni afisa elimu msingi wilaya ya Ruangwa Mwl. George Mbesigwa amewataka walimu kutumia mafunzo yaliyoletwa na Aga Khan foundation wilaya ya Ruangwa kupitia MEWAKA kuyatumia vizuri katika kukuza taaluma mashuleni kwa…
15 May 2023, 1:16 pm
Kitomo akabidhi Printer shule ya Msingi Nyamihuu
Na Hafidh Ally Mdau wa maendeleo Elia Kitomo amekabidhi mashine ya kuprint na kutoa copy katika shule ya msingi Nyamihuu ili iwasaidie katika shughuli za Kitaaluma. Akizungumza wakati wa kukabidhi mashine hiyo, Elias Kitomo ambaye ni Mkurugenzi wa Kitomo Hardware…
12 May 2023, 3:40 pm
Wakazi wa Manda watakiwa kushirikiana na walimu
Maila Sekondari kwa mwaka 2022/2023 ilishika nafasi ya tatu kwa ngazi ya Wilaya matokeo ya kidato cha nne na nfasi ya pili kwa matokeo ya kidato cha pili. Na Victor Chigwada. Afisa elimu wa Kata ya Manda Bw.Christopher Mataya ametoa…
9 May 2023, 8:13 pm
Mwanga Awataka Wazazi Kuendelea Kuchangia Chakula Shuleni
MLELE Mkuu wa Wilaya ya Mlele Majid Mwanga amewataka wazazi na walezi Wilayani humo waendelee kuchangia chakula cha mchana kwa wanafunzi wote kwa shabaha ya kuinua kiwango cha ufaulu. Ameyasema hayo wakati akiongea na wananchi wa Inyonga katika Mkutano wa…