Radio Tadio

Ajali

29 July 2023, 10:20 pm

Maduka matatu yateketea kwa moto Bukombe

Uduni wa vifaa vya uokozi kwa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoani Geita inachangia kulifanya Jeshi hilo kushindwa kufanya kazi kwa ufanisi. Na Alex Masele: Maduka matatu ya wafanyabiashara katika mji wa Ushirombo Halmashauri ya wilaya Bukombe Mkoani Geita yameteketea…

13 July 2023, 9:16 pm

Miili mitatu yatambuliwa wahanga wa ajali

Majonzi yatawala wilayani Bukombe kufuatia ajali ya watu sita kufariki dunia, miili imeendelea kutambuliwa huku serikali ikitoa wito kwa watumiaji wa vyombo vya moto kuzingatia sheria. Na Mrisho Sadick: Kaimu Mganga Mkuu wa wilaya ya Bukombe Mkoani Geita Dkt Timotheo…

13 July 2023, 2:59 pm

Sita wafariki ajali ya gari Bukombe

Usingizi wa dereva wa gari dogo la abiria Toyota Hiace umekatisha uhai wa watu sita katika kata ya Runzewe wilayani Bukombe mkoani Geita. Na Mrisho Sadick: Watu sita wamefariki dunia na wawili kujeruhiwa baada ya gari dogo aina ya Toyota…

13 July 2023, 12:27 pm

Moto wateketeza vitu vyote vya ndani Geita

Majanga ya moto mkoani Geita yameendelea kujitokeza huku wananchi wakitakiwa kutoa taarifa mapema kwa Jeshi la Zimamoto kwa ajili ya uokozi kwa namba ya bure ya 114. Na Kale Chongela Moto ambao haujajulikana chanzo chake umezuka na kuteketeza vitu vya…

12 July 2023, 11:32 am

Moto uliyozuka eneo la uwekezaji wadhibitiwa

Wananchi Mkoani Geita wametakiwa kutoa taarifa haraka pindi wanapohitaji msaada wa maokozi kutoka Jeshi la Zimamoto na Uokoaji ili kukabiliana na tatizo kabla halijawa kubwa. Na Mrisho Sadick: Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoani Geita limefanikiwa kuudhibiti moto uliyozuka karibu…

5 July 2023, 5:40 pm

Mmoja afariki 46 wajeruhiwa ajali ya gari Bunda

Mtu mmoja Anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 25 amepozea  maisha na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya gari  walilokuwa  wakisafiria kupata ajali katika eneo la Balili kona Bunda mkoani Mara Na Adelinus Banenwa Kijana mmoja anayekadiriwa kuwa na umri wa…