Storm FM
Storm FM
30 May 2026, 2:50 pm
‘‘Tulikuwa na uzinduzi wa albamu ya muziki ambayo ilikuwa inafanyika katika sehemu yangu ya biasahara tulimaliza usiku na tulirejea saa tisa usiku tukiwa na mke wangu na kukuta nyumba imechomwa moto” David Wanzagi Nyerere Na Amos Marwa Watu wasiojulikana wamevamia…
22 May 2026, 18:02
Hatutawavumilia viongozi wote watakaofanya udanganyifu wa uchezea (kuchakachua) mizani kwa lengo la kuwaibia wakulima, Lakini pia hatutawavumilia wakulima wataoharibu pamba kwa kuweka Maji, mchanga au Mafuta ya kenge hatua kali za kisheria zitachukuliwa ikiwemo kufungwa Jela. “Ndinda Antony – Mkaguzi…
22 May 2026, 9:10 am
Wajasiriamali wa kata ya Bomang’ombe wamepatiwa mafunzo maalumu ya kulinda mitaji yao na vipato vyao pamoja na kuanzisha biashara kwa mitaji midogo, wamefundishwa kutengeneza batiki, sabuni ushonaji na mafunzo mengine ya ujasiriamali. Na Henry keto, Hai-Kilimanjaro Diwani wa Kata ya…
20 May 2026, 00:23
Kwasasa wilaya ya Meatu tumepiga marufuku uvunaji wa pamba kwa kutumia vikundi vya ngoma na muziki maana havizingatii kanuni bora za pamba hali inayosababisha uchafuzi wa pamba wakati wa uvunaji ” Thomas Shilabu afisa kilimo wilaya ya Meatu. Viongozi wa…
15 May 2026, 4:52 pm
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira Tanzania (NEMC) lilianzishwa mwaka 1986 ambapo maadhimisho ya miaka 40 yanatarajiwa kufanyika Mei 30, 2026. Na: Ester Mabula Kuelekea maadhimisho ya miaka 40 ya Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi…
15 May 2026, 11:50 am
Bodaboda watakaobadili taa na milio ya pikipiki kukiona Na Oliva Joel Hai-Kilimanjaro Maafisa usafirishaji maarufu bodaboda wilayani Hai Mkoani Kilimanjaro wameaswa kutokubadilisha mifumo ya milio na taa iliyowekwa katika pikipiki zao na kuweka taa zenye mwanga mkali pamoja na kuweka…
14 May 2026, 3:33 pm
Ili kuendelea kufuga kwa tija na kukuza kipato cha mtu mmoja mmoja, wafugaji wametakiwa kuzingatia taratibu na kanuni za ufugaji. Na Anasta Urio Hai- Kilimanjaro Wafugaji wa Nguruwe wilayani Hai Mkoani Kilimanjaro wametakiwa kufata kanuni na taratibu za ufugaji zinazotolewa…
12 May 2026, 19:02
Lazima mkulima ashiwe mkono kama mtoto mdogo anavyoshikwa mkono wakati wa kuvukishwa barabarani, ndio maana serikali inamhudumia kuanzia pembejeo hadi kwenye masoko, tunatamani heshima ya pamba urudi. ” Agrey Mwanri -balozi wa pamba tanzania “ Imeelezwa kuwa Serikali ya awamu…
12 May 2026, 18:00
Yamezungumzwa mengi na watangulizi wangu lakini naomba nikuongezee machache mgeni rasmi kuwa hapa Igunga kutajengwa kiwanda kiubwa cha kuchakata pamba kabla ya mwaka huu haujaisha maana tayari tumeshapata eneo “Renatus Luneja Mkurugenzi mkuu wa Bodi ya pamba Tanzania-TCB “ Serikali …
May 12, 2026, 9:38 am
Pendekezo hilo la kutoa shilingi 1,000 kila mwezi kama ada ya taka limetolewa na Meya Acton Rwankomezi kutokana na kutozolewa taka kwa wakati sababi ikiwa ni ukosefu wa magari ya kubeba taka Na Enock Yoronimo- Bukoba, KAGERA Kutokana na changamoto…