Storm FM

Mazingira

10 June 2026, 08:43

Kaya tatu Mufindi zapatiwa bima ya afya

Bima hizo zimetolewa ili kuunga mkono juhudi za serikali kuhakikisha jamii inapata huduma bora za afya. Na Fredrick Siwale Katika kuunga Mkono upatikanaji wa bima ya afya kwa wote, chama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Mufindi kimekabidhi shilingi Sh. 450,000…

9 June 2026, 13:17

Mimba za utotoni bado ni tishio Ruangwa

Hali ya mimba za mapema wilaya ya Ruangwa bado ni tishio ikiwa kwa kipindi cha Januari hadi Machi mwaka huu zimeongezeka kwa asilimia 16 huku awamu ya Aprili ni asilimia 15 tofauti na takwimu za hapo awali. Na mwandishi wetu…

30 May 2026, 2:50 pm

Wavamizi wachoma nyumba Muhunda

‘‘Tulikuwa na uzinduzi wa albamu ya muziki ambayo ilikuwa inafanyika katika sehemu yangu ya biasahara tulimaliza usiku na tulirejea saa tisa usiku tukiwa na mke wangu na kukuta nyumba imechomwa moto” David Wanzagi Nyerere Na Amos Marwa Watu wasiojulikana wamevamia…

22 May 2026, 18:02

Mwarobaini kwa wanaochezea mizani ya kupimia pamba wapatikana

Hatutawavumilia viongozi wote watakaofanya udanganyifu wa uchezea (kuchakachua) mizani kwa lengo la kuwaibia wakulima, Lakini pia hatutawavumilia wakulima wataoharibu pamba kwa kuweka Maji, mchanga au Mafuta ya kenge hatua kali za kisheria zitachukuliwa ikiwemo kufungwa Jela. “Ndinda Antony – Mkaguzi…

15 May 2026, 4:52 pm

Miti 3,000 kupandwa Geita maadhimisho ya miaka 40 ya NEMC

Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira Tanzania (NEMC) lilianzishwa mwaka 1986 ambapo maadhimisho ya miaka 40 yanatarajiwa kufanyika Mei 30, 2026. Na: Ester Mabula Kuelekea maadhimisho ya miaka 40 ya Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi…

15 May 2026, 11:50 am

Bodaboda Hai waonywa kubadili taa na milio ya pikipiki

Bodaboda watakaobadili taa na milio ya pikipiki kukiona Na Oliva Joel Hai-Kilimanjaro Maafisa usafirishaji maarufu bodaboda  wilayani Hai Mkoani Kilimanjaro wameaswa kutokubadilisha mifumo ya milio na taa iliyowekwa katika pikipiki zao na kuweka taa zenye mwanga mkali  pamoja na kuweka…