Radio Fadhila
Radio Fadhila
16 June 2025, 9:47 PM

Wazazi, walezi na jamii kwa ujumla wamekumbushwa wajibu wao kwa watoto kwa kuzitambua haki za mtoto ili kuwalinda dhidi ya ukatili na kuwapa haki zao za msingi
Na Lilian Martin
Katika maadhimisho ya mtoto wa Afrika yaliyofanyika Wilayani Masasi na kuudhuriwa na viongozi mbalimbali wakiwemo viongozi wa serikali na viongozi wa dini wametoa wito kwa jamii ili kuwalinda watoto

Na mwenyekiti wa SUMAUJATA awamewataka wazazi na walezi kuwa waangalifu kwa watoto ili kuwalinda dhidi ya vitendo viovu wanavyofanyiwa watoto
lakini pia Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Bi Mariam Kasembe amewaomba wanawake kuacha vitendo vya ukatili wanavyo visababisha wenyewe ambayo vinawaadhiri watoto na kuwakosesha haki za kuishi
pamoja na hayo watoto nao walitoa jumbe mbalimbali katika jamii wakiwataka wazazi walezi na jamii kwa ujumla kujua haki zao na kuwalinda ili wake salama


wanafunzi wakifikosha ujumbe