Radio Fadhila
Radio Fadhila
19 March 2025, 11:10 AM

Mtunzi wa jina la Tanzania Mohammed Iqbal Dar. Picha na Google
Akiwa mwanafunzi mwenye umri wa miaka 18 shuleni Mzumbe, Iqbal alikutana na tangazo linalomtafuta mtu ambaye atatoa wazo la jina la nchi, baada ya kuunganishwa kwa Zanzibar na Tanganyika.
Na Neema Nandonde
Redio Fadhila kupitia mtangazaji Neema Nandonde tumekuandalia makala ambayo utamfahamu kwa undani Mohammed Iqbal Dar ambaye ndiye mtunzi wa jina la TANZANIA.
Sauti ya Makala nzima