Radio Fadhila
Radio Fadhila
9 January 2025, 11:48 AM

Licha ya kuwa mlemavu wa kutoona Mzee Morris Nyunyusa alikuwa na uwezo wa kupiga ngoma 17 kwa wakati mmoja.
Na Asha Mustafa
Hii ni makala fupi kuhusiana na mpiga ngoma maarufu marehemu Morris Nyunyusa.