Radio Fadhila

Hokololo, NBS watoa mafunzo kwa watendaji Mtwara

18 January 2024, 9:29 AM

MASASI

Mbunge wa viti maalumu Mkoa wa Mtwara kupitia Chama cha Mapinduzi  CCM,  AGNES  HOKOLOLO , amewataka viongozi walioshiriki mafunzo ya kujengewa uwezo kutoka Tume ya Taifa ya Takwinu NBS  kuyatumia kwa ajili ya kupanga mipango ya maendeleo katika maeneo yao.

Hokololo ametoa wito huo wakati anafanyiwa mahojiano na mwandishi wetu mara baada ya kuitimishwa kwa mafunzao hayo kutoka tume ya Taifa inayohusika na utoaji wa Takwimu NBS, yaliyoshirikisha zaida ya watendaji mia nne wa kada mbalimbali wakiwemo wa chama cha mapinduzi CCM,  kutoka  wilaya ya Newala, Nanyumbu na Masasi yakilenga kuwapa uelewa watendaji hao ili wakayatumie katika maeneo yao kama sehemu ya   kupanga mipango ya maendeleo.

Hokololo akizungumza katika sehemu ya mahojiano hayo akawa na haya ya kusema……..insert.

Naye kwa upande wake mkuu wa wilaya ya Masasi lauter kanon ambeye ndiye aliyekuwa mgeni rasmi akizungumza katika hotuba yake ya ufunguzi akasema…………insert.

Mafunzo kama hayo mapema yalifanyika mkoani mtwara na yalishirikisha zaidi ya watu 500, yakibeba taswira ya mkoa huo.