
Ulemavu

14 March 2023, 8:26 pm
Familia ya walemavu Kijiji cha Lulanzi waomba kupatiwa matibabu na chakula
Na Hafidh Ally Mama Mzazi wa Familia ya walemavu watatu wa familia moja anashindwa kumudu gharama za kuwalea watoto wake na kuwapatia matibabu. Walemavu watatu wa familia moja katika Kijiji cha Lulanzi kilichopo Kata ya Mtitu Wilaya ya Kilolo Mkoani…

7 March 2023, 12:38 pm
Nyumba ya walemavu Lulanzi iliyochangiwa Mil. 5 na Waziri Mkuu yakamilika
Ujenzi wa Nyumba ya walemavu wanaoishi Kijiji cha Lulanzi umegharimu kiasi cha shilingi Milioni 26 huku kati ya fedha hizo kiasi cha shilingi milioni 5 zikitolewa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Na Hafidh Ally Hatimaye Nyumba…

7 February 2023, 11:25 am
Mbunge aibana serikali kuhusu miundombinu ya usafiri kwa watu wenye ulemavu
Serikali ina Mpango gani wa kuweka Sheria kwa Wamiliki Wa Vyombo Vya Usafiri ili Kuwa Na Miundombinu Rafiki Kwa Watu Wenye Ulemavu. Na Hafidh Ally Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi na uchukuzi imewataka Mamalaka ya Usafirishaji Ardhini LATRA na Mamlaka…

4 February 2023, 14:29 pm
Nipo tayari kukatwa mguu
“Wahisani na wadau wameombwa msaada wa matibu ya mguu kwa Ndg. Marias Thomas Ngole mkazi wa kitongoji cha Mijolo kijiji cha Ziwani Mkoani Mtwara baada ya kuapata ajali ya kugongwa na pikipiki miaka mitatu iliyopita.” Na Musa Mtepa Akizungumza na…

2 February 2023, 3:07 pm
Serikali yaombwa kuwasaidia watoto wenye ulemavu Iringa
Serikali itupatie usaidizi wa namna ya kuwahudumia watoto wenye ulemavu Pindi wawapo shuleni kimasomo. Na Fabiola Bosco Wazazi wenye watoto walio na ulemavu Halmashauri ya Manispaa ya Iringa wameiomba serikali kuwapa usaidizi wa namna ya kuwahudumia watoto wao pindi wawapo…

7 December 2022, 11:41 am
Kiti mwenzo chamuwezesha Agness kurudisha tabasamu.
Na; Mariam Matundu. Familia ya mtoto Agnesi inayoishi kata ya makang’wa wilayani chamwino imerejesha matumaini baada ya diwani wa viti maalumu kumsaidia binti yao kiti mwenzo kinachomuwezesha kufika shule . .

27 April 2021, 10:00 am
Changamoto ya Madawati shule ya sekondary Wotta yatatuliwa
Na; Seleman Kodima Wakazi wa kata ya Wotta wilayani Mpwapwa wameishukuru Dodoma fm redio kwa Juhudi ya kubwa walizofanikisha kuripoti tatizo la uhaba wa madawati ktika shule ya sekondari na hatimaye Changamoto hiyo kufanyiwa kazi . Hayo yamejiri baada ya…