Ulemavu
29 May 2026, 10:36
Wanahabari Iringa wapewa elimu ya matumizi ya Maziwa
Maziwa ni chakula muhimu na kamili kwa watu wa rika zote kutokana na kuwa na makundi yote ya virutubishi muhimu kwa mwili wa binadamu. Na Hafidh Ally WAANDISHI wa habari mkoani Iringa wamepatiwa elimu kuhusu matumizi ya maziwa bora na…
15 May 2026, 1:19 pm
Bunda DDH yaadhimisha Siku ya Wauguzi kwa harambee
Mkama alieleza kuwa anatambua kazi ya ukunga na uuguzi ni wito wa kujitolea unaoendelea kuwa msaada mkubwa kwa jamii, huku akipongeza ufanisi mkubwa wa kazi hiyo kutokana na mabadiliko ya sayansi na teknolojia duniani. Na Adelinus Banenwa Hospitali ya Wilaya…
25 April 2026, 16:09
Ushiriki wa familia katika malezi, kujifunza lugha kwa mtoto
Ushiriki wa wanafamilia wote kwa pamoja ndiyo nguvu kubwa zaidi katika ukuaji wa lugha ya mtoto, familia inayokaa pamoja na kula chakula cha jioni, inayosali pamoja, au inayofanya kazi pamoja shambani inafanya mtoto asikie lugha ikitumika katika hali mbalimbali za…
3 February 2026, 11:49 am
CCM Simanjiro yaadhimisha miaka 49, yajivunia mafanikio
Na Dorcas Charles Wakati CCM ikiazimisha miaka 49 tangu kuasisiwa kwake mwaka 1977, Katibu wa CCM Wilaya ya Simanjiro, Bi. Wambura Igembya, ameelezea mabadiliko makubwa ya kijamii na kiuchumi yaliyopatikana wilayani humo. Katibu amebainisha kuwa tangu kuzaliwa kwa chama hicho,…
12 January 2026, 12:50
Mil. 253 kuanzisha mashamba darasa 300 ya malisho nchini
“Kufuga mifugo siyo kufungo tunataka kuwaona wafugaji waone faida ya kuitwa mfugaji lazima sasa tutoke huko tuanze kufuga kwa tija ili waweze kuendesha maisha yao mazuri na familia zao ikiwemo elimu nzuri kwa watoto wao ,makazi mazuri .” Na,Daniel Manyanga …
9 January 2026, 12:11 pm
Nyang’hwale yaendelea kuwa kinara uandikishaji wanafunzi
“Kimsingi zoezi la kuandikisha wanafunzi linaendelea hadi Marchi 31, 2026 kwa mujibu wa mwongozo wa serikali kupitia wizara ya elimu” – Mwalimu Mtweve Na: Ester Mabula Afisa elimu mkoa wa Geita Mwalimu Antony Mtweve amewahimiza wazazi na walezi kuendelea kujitokeza…
5 January 2026, 6:39 pm
Walimu wakuu, tehama Mbozi wapata mafunzo ya SIS
Ni mafunzo ya mfumo wa School Information System. Na Devi Moses JUMLA ya walimu 110 kutoka Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe wameshiriki mafunzo ya matumizi ya mfumo wa School Information System (SIS) yaliyofanyika ukumbi wa Shule ya Sekondari Vwawa Day. Mafunzo hayo…
5 January 2026, 16:00
Jamii FM yatoa tuzo kwa wasikilizaji bora wa mwaka 2025
Jamii FM Redio imetangaza wasikilizaji na wachangiaji bora wa vipindi vyake kwa mwaka 2025. Washindi walichaguliwa na wasikilizaji kupitia SMS na kukabidhiwa tuzo katika hafla iliyofanyika katika studio za kituo hicho Na Musa Mtepa Jamii FM Redio imetangaza wasikilizaji na…
27 December 2025, 4:57 am
Afisa elimu Geita ahimiza wazazi kuendelea kuandikisha wanafunzi
“Kila mwaka zoezi la uandikishaji huanza mwezi Septemba na kukamilika tarehe 31, marchi ili kutoa nafasi kwa wazazi na walezi kuandikisha watoto wao” – Afisa elimu mkoa wa Geita Na: Ester Mabula Afisa elimu mkoa wa Geita Mwalimu Antony Mtweve…
9 December 2025, 12:25
Jamii yahimizwa kuepuka hisia katika kutatua migogoro
Afisa wa TASA, imeitaka jamii kutenga muda wa kufikiria na kutoa maamuzi sahihi katika kutatua migogoro, ikisisitiza kuepuka hisia na kutoegemea upande wowote Na Musa Mtepa Jamii imetakiwa kutenga muda wa kufikiria, kuchakata na kutoa maamuzi sahihi katika kutatua migogoro…