Ulemavu
5 January 2026, 16:00
Jamii FM yatoa tuzo kwa wasikilizaji bora wa mwaka 2025
Jamii FM Redio imetangaza wasikilizaji na wachangiaji bora wa vipindi vyake kwa mwaka 2025. Washindi walichaguliwa na wasikilizaji kupitia SMS na kukabidhiwa tuzo katika hafla iliyofanyika katika studio za kituo hicho Na Musa Mtepa Jamii FM Redio imetangaza wasikilizaji na…
27 December 2025, 4:57 am
Afisa elimu Geita ahimiza wazazi kuendelea kuandikisha wanafunzi
“Kila mwaka zoezi la uandikishaji huanza mwezi Septemba na kukamilika tarehe 31, marchi ili kutoa nafasi kwa wazazi na walezi kuandikisha watoto wao” – Afisa elimu mkoa wa Geita Na: Ester Mabula Afisa elimu mkoa wa Geita Mwalimu Antony Mtweve…
9 December 2025, 12:25
Jamii yahimizwa kuepuka hisia katika kutatua migogoro
Afisa wa TASA, imeitaka jamii kutenga muda wa kufikiria na kutoa maamuzi sahihi katika kutatua migogoro, ikisisitiza kuepuka hisia na kutoegemea upande wowote Na Musa Mtepa Jamii imetakiwa kutenga muda wa kufikiria, kuchakata na kutoa maamuzi sahihi katika kutatua migogoro…
11 September 2025, 8:36 pm
Wananchi wakaribishwa ‘Mara day’
Maadhimisho hayo ya 14 yanatarajiwa kufanyika kuanzia Septemba 12 hadi Septemba 15, 2025, katika Viwanja vya Mwenge, Wilaya ya Butiama, mkoani Mara. Na Thomas Masalu Mkuu wa Mkoa wa Mara, Kanali Evans Mtambi, amewataka wananchi wa Mkoa wa Mara na…
9 September 2025, 09:44
Mwenge wa uhuru kumulika miradi ya maendeleo Kasulu
Mkuu wa Wilaya ya Kasulu Kanali Isaac Mwakisu amesema mwenge wa uhuru utetembelea na kuweka jiwe la msingi katika miradi ya maendeleo utakapowasili Wilayani humo Na Hagai Ruyagila Wananchi wilayani ya Kasulu mkoani Kigoma wametakiwa kujitokeza kwa wingi kushiriki katika…
24 July 2025, 11:04 am
Masanja ajitosa ubunge jimbo la Mpanda mjini kupitia CHAUMA
Masanja akiwa amekabidhiwa fomu ya kugombea ubunge. Picha na Benny Gadau “Jimbo la Mpanda mjini ni jimbo la wanamageuzi” Na Benny Gadau Kamishna wa kanda maalum ya magharibi wa Chama Cha Ukombozi wa Umma CHAUMA Masanja Musa Katambi amechukua fomu…
23 July 2025, 12:35
Mwili wakutwa ukining’inia kwenye mkorosho Lindi
Omari Bakari Hidobelele (35), mkazi wa Madangwa, Lindi, amekutwa amejinyonga kwa kutumia mkanda wa suruali. Polisi wamesema marehemu alikuwa na msongo wa mawazo. Familia imeshangazwa na tukio hilo, ikieleza kuwa hakuwa na matatizo yoyote. Polisi wamehimiza jamii kusaidia wenye changamoto…
4 April 2025, 5:09 pm
Jumuiya ya wazazi CCM Bunda yatembelea kituo cha watoto yatima St. Francis
Katika wiki ya wazazi jumuiya hiyo imefanya kazi mbalimbali kwenye jamii ikiwemo ufanyaji wa usafi katika maeneo mbalimbali, upandaji miti, kutembelea vituo vya afya. Na Adelinus Banenwa Jumuiya ya wazazi chama cha mapunduzi CCM wilaya ya Bunda kimepongeza kituo cha…
2 April 2025, 6:49 pm
Magala atahadharisha rushwa kuelekea uchaguzi
Amewataadharisha viongozi hao kuepuka watu wanaotaka nafasi za uongozi kwa kutumia rushwa. Na Adelinus Banenwa Katibu wa Elimu, malezi na Maadili jumuiya ya wazazi CCM Bunda ndugu Masau Magala ameitaka jamii kuzingatia kuzingatia suala la Maadili na kuepuka vitendo vya…
15 March 2025, 5:46 pm
Bunda kuadhimisha miaka minne ya Rais Samia Machi 17
Miongoni mwa maeneo yatakayoangaziwa ni pamoja na sekta mbalimbali za serikali ikiwemo Maji, Umeme, Afya, Barabara pamoja na Elimu. Na Adelinus Banenwa Serikali wilayani Bunda imewaomba wananchi wote kuudhuria maadhimisho ya miaka minne ya serikali ya awamu ya sita chini…