Radio Tadio

Ukatili

6 February 2024, 3:41 pm

Hakimu atumia pombe kumlawiti dereva bodaboda Loliondo

l Matukio ya ulawiti yamekuwa ayatendeki kwa kiasi kikubwa na viongozi wa utoaji haki kwani imekuwa ni mara chache  kusikia yakiripotiwa na hukumu zikitolewa huku kwa wilaya ya Ngorongoro likiwa ni tukio la kwanza kuripotiwa la hakimu kutuhumiwa kutenda kosa…

2 February 2024, 2:27 pm

Mdahalo kufanyika kata kinara kwa ukeketaji Arusha

“Vtendo vya ukeketaji nchini vimepungua lakini vimeongezeka kwa mkoa wa Arusha ambao unaongoza nchini kwa vitendo hivyo” Na. Anthony Masai. Maadhimisho ya kitaifa ya siku ya kupinga vitendo vya ukeketaji nchini yanatarajia kufanyika katika kijiji cha Olchorvosi,kata ya Musa,halmashauri ya…

19 January 2024, 12:54 pm

Mama afanya jaribio la kumuua mtoto baada ya kujifungua Katavi

Mama wa Mtoto huyo akiwa katika hospitali hiyo kwa Matibabu zaidi ya Mtoto .Picha na Gladness Richard Amefanya kitendo hicho baada   ya kufika hospitali  na kuomba kwenda chooni na huko ndipo alipofanya jaribio hilo. Na Gladness Richard-Katavi Binti anayefahamika kwa…

19 January 2024, 12:51

Binti wa miaka 15 abakwa na mjomba wake Kigoma

Binti  mmoja  mwenye umri wa miaka 15 ambaye ni mhitimu wa elimu ya msingi mwaka jana amekutana na madhira ya kubakwa na mjomba wake ambaye ni mdogo wa mama yake alipokwenda kumsalimia. Na, Josephine Kiravu

16 January 2024, 10:36

RPC Malya: Ukatili wa kijinsia umepungua mkoani Songwe

Na Mwandishi wetu Songwe Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Songwe kamishna msaidizi ACP Theopista Malya amesema kuwa vitendo vya ukatili wa kijinsia vimepungua mkoani Songwe kutokana na elimu inayotolewa kuifikia jamii. Kamanda Malya ameyasema hayo wakati akizungumza na…

4 January 2024, 3:40 pm

Mme amkata mapanga akitaka warudiane

Imekuwepo tabia ya baadhi ya wanandoa wanapo tarakiana, mmoja wao kushindwa kukubaliana na hali jambo hili limepelekea baadhi ya kuchukua maamzi ya kujitoa uhai au kutoa uhai wa wenzi wao wa zamani wakihisi itasaidia ndio sababu iliyomkuta Bwana Masolwa Maliki…

2 January 2024, 7:06 pm

Wazazi chanzo cha ukatili kwa watoto

Baadhi ya wazazi na walezi wametajwa kuwa chanzo cha ukatili kutokana na kutokutoa ushirikiano pindi watoto wao wanapofanyiwa ukatili. Na Elizabeth Mafie Imeelezwa kuwa kudidimia kwa ndoto za watoto wengi hasa wa kike wilayani Same mkoani Kilimanjaro kunatokana na baadhi…

12 December 2023, 9:12 pm

Wananchi Hai watakiwa kuandaa mazingira ya kudhibiti ukatili

Wananchi Hai wametakiwa kuwajibika kuzuia ukatili wa kijinsia katika jamii. Na Anasta Urio Wananchi wilayani Hai mkoani Kilimanjaro wametakiwa  kuandaa mazingira ya kudhibiti  vitendo vya ukatili katika jamii  bila kujali siasa, dini pamoja na ukabila  ili kuhakikisha kila mtu anawajibika …

11 December 2023, 17:08

Ahukumiwa miaka 105 kwa makosa ya ulawiti na ubakaji uvinza

Wahukumiwa kwa makosa ya ulawiti na ubakaji Kigoma. Na Josephine Kiravu. Katika kuendelea kupambana na vitendo vya ukatili wa kijinsia kwa wanawake na watoto, Mahakama ya wilaya Uvinza imemhukumu kifungo cha kwenda jela miaka 105 Wangala Maganga baada ya kutiwa…