Radio Tadio

Ukatili

26 October 2023, 3:50 pm

Joyce auawa kisha sehemu zake za siri kunyofolewa Mbogwe

Ramli chonganishi zimeendelea kusababisha mauaji maeneo mbalimbali hapa nchini huku serikali ikitakiwa kupambana na suala hilo kuokoa maisha ya watu hususani maeneo ya vijijini. Na Mrisho Sadick: Mwanamke Joyce Luhedeka mwenye umri wa miaka (51)  Mkazi wa kijiji cha Ikobe…

25 October 2023, 1:46 pm

Jamii yaonywa kuepuka unyanyasaji wa kijinsia

Katibu huyo amewasihi wanaume ambao wamekuwa wakipigwa na wake zao majumbani kufichua vitendo huvyo bila haya ili sheria iweze kuchukua mkondo wake. Na Bernad Magawa. Katibu wa chama cha Mapinduzi wilaya ya Bahi Paulina Deus Bupamba amekemea vikali suala la…

24 October 2023, 21:20

CCM Kigoma kupitia UWT yalia na vitendo vya ukatili

CHAMA cha Mapinduzi CCM, kupitia umoja wa wanawake Tanzania UWT mkoa wa Kigoma, kimeraani na kukemea vitendo vya ukatili vinavyofanyika kwa watoto na wanawake, nakuomba jamii kuungana pamoja kukemea vitendo hivyo na kuripoti katika mamlaka husika ili kuchukua hatua mara…

23 October 2023, 12:56

Msichana wa miaka 21 afanyiwa ukatili Bitale Kigoma

Na Tryphone Odace Wasichana wawili Katika kijiji cha Bitale, halmashauri ya wilaya Kigoma wameiomba serikali kuwachukulia hatua za kisheria vijana watatu ambao wamewafanyia ukatilii kwa kuwabaka  kwa nyakati tofauti katika kijiji hicho, huku mmoja wao akiwa amebakwa na wanaume watatu kwa wakati…

23 October 2023, 12:40

Wazazi watakiwa kuwa karibu na watoto, kuwalinda na ukatili

Ili kuhakikisha vitendo vya ukatili vinaisha kwenye jamii, wazazi na walezi na jamii kwa ujumla wametakiwa kuwa karibu na watoto wao ili kuwakinga na vitendo vya ukatili. Na Tryphone Odace Wazazi na walezi manispaa ya Kigoma Ujiji, wametakiwa kuwa karibu…

17 October 2023, 18:09

Kisa simu mwanaume ampiga mke wake mpaka kufa Mbeya

Wakati Mungu anamuumba mwanadamu yaani adamu aliona si vema akishi pekee yake akampatia msaidizi wake ambaye ni eva ili waishi pamoja tena kwa furaha,hali hiyo imegeuka karaha kwa wanandoa hawa kujikuta wakiingia kwenye mgogoro kisa simu na kusababisha kifo kwa…

11 October 2023, 19:23

Ukatili wa kingono unakwamisha ndoto za wasichana wengi

Mtoto wa kike amekuwa akikutana na changamoto nyingi tofauti na mtoto wa kiume na hii ndio sababu ya mtoto wa kike kulindwa na kupinga ukatili anaofanyiwa. Na Ezra Mwilwa Wazazi na walezi mkoani Mbeya wameshauriwa kumlinda mtoto wakike na kutoa…

6 October 2023, 10:27 am

Wazee nchini walaani vijana kuwalazimisha kuwarithisha mali

Wazee Nchini wameiomba serikali kuingilia kati vitendo vya baadhi ya vijana wao kuwalazimisha kuwarithisha mali ili hali wako hai sababu ambayo inachangia wengi wao kufanyiwa vitendo vya ukatili ikiwemo mauaji pindi wanapokataa kufanya hivyo. Suala la vijana kuwalazimisha wazee kuwarithisha…