Ukatili
7 December 2023, 4:54 pm
Wazazi, walezi watajwa chanzo cha mimba za utotoni
Malezi yasiyozingatia misingi bora pamoja na ukosefu wa elimu ya uzazi imetajwa kuwa chanzo cha mimba za utotoni wilayani Rungwe mkoani Mbeya. Na Sabina Martin Mimba katika umri mdogo imetajwa kuwa ni miongoni mwa ukatili uliokithiri katika jamii ya wananchi…
29 November 2023, 8:54 am
Polisi kukabiliana na vitendo vya kikatili Rungwe
ili kuweza kutokomeza vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia ikiwa ni pamoja na ukatili kwa wanawake na watoto jamii imetakiwa kuwa mstari wa mbele kutoa taarifa kwenye vyombo vya kisheria. RUNGWE-MBEYA Na Lennox Mwamakula Jamii imeshauriwa kuachana na vitendo vyaa kikatili…
28 November 2023, 6:11 pm
Muendelezo wa Siku 16 za kupinga ukatili
Na Mariam Matundu. Tukiwa bado katika siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia leo tunakuuliza ni njia gani ya haraka unaweza kuitumia kuripoti vitendo vya ukatili ? Leonard mwacha amezungumza na mkuu wa dawati la jinsia na watoto mkoa wa…
27 November 2023, 7:31 pm
Mahakama maalum Zanzibar mwarobaini vitendo vya udhalilishaji
Kwa miaka mingi Zanzibar, vitendo vya ukatili wa kingono na ukatili wa kijinsia (SGBV) vimekuwa vikifanywa bila ya kuadhibiwa. Na Ivan Mapunda. Mwaka 2002 kwa mfano, TAMWA ilipokea ripoti kutoka Mahakama Kuu ikionesha 0% ya hatia dhidi ya kesi 200…
27 November 2023, 5:44 pm
Leo tunaangazia siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia
Hatua za kutokomeza ukatili zianzie katika ngazi ya familia. Na Mwandishi wetu. Kampeni ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia imezinduliwa ikiwa na kauli mbiu isemayo wekeza kutokomeza ukatili ,kaulimbiu ambayo imewaleta wadau ,serikali na famili kwa pamoja katika…
23 November 2023, 15:59
Ugomvi wa wazazi mbele ya watoto chanzo mmomonyoko wa maadili
Na Hobokela Lwinga Inaelezwa kuwa wazazi na walezi wamekuwa kichocheo kikubwa cha mmonyoko wa maadili hali inayosababisha uwepo wa matendo ya kikatili kwenye jamii. Hayo yameelezwa na mkuu wa dawati la jinsia jeshi la polisi mkoa wa Mbeya Inspekta Loveness…
20 November 2023, 12:51 pm
Siku 16 za kupinga ukatili; “wekeza kuzuia ukatili wa kijinsia”
Na Sabina Martin: Rungwe- Mbeya Kuelekea siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia, jamii wilayani Rungwe mkoani Mbeya imetakiwa kutoa taarifa ya vitendo vya ukatili vinavyoendelea katika maeneo yao ili kutokomeza vitendo hivyo. Akizungumza katika kipindi cha amka na chai…
16 November 2023, 12:17 pm
Walimu na wanafunzi Wesha watakiwa kuongeza juhudi mapambano dhidi ya vitendo vy…
Udhalilishaji wa kijinsia ni ukatili wowote unaofanywa na mtu kumfanyia mtu mwingine bila kujali umri maumbile kabila rangi dini au mitazamo tofauti ya kisiasa au mingine. Na Mwiaba Kombo Walimu na wanafunzi wa skuli ya msingi Wesha wilaya ya Chake chake…
13 November 2023, 4:31 pm
Ubakaji, ulawiti kwa watoto wakithiri Dodoma
Ripoti hiyo ni kwa mujibu wa Kituo cha One stop center kwa mwezi Septemba 2023 ambapo takwimu zimebainisha kuwa mkoa wa Dodoma matukio ya ukatili wa kijinsia kwa watoto 130 kwa matukio ya ubakaji huku watoto 69 wakilawitiwa. Na Seleman…
6 November 2023, 15:44
CP. Wakulyamba: Wapeni ushirikiano VGS
Wananchi wametakiwa kuwapa ushirikiano Askari wa Wanyamapori Vijijini (VGS) ili waweze kutekeleza Majukumu yao vizuri ya ulinzi wa Maliasili pamoja na kuwalinda wanavijiji dhidi ya Wanyamapori wakali na waharibifu. Na Mwandishi wetu, Dodoma Wito huo umetolewa na Naibu Katibu Mkuu…