Radio Tadio

Uchumi

13/12/2023, 15:47

Wafanyabiashara Pemba wahimizwa kulipa kodi kwa hiari

Na Is-haka Mohammed. Mamlaka ya Mapato Zanzibar(ZRA) Pemba imezindua mwezi wa kurejesha shukrani kwa mlipa kodi kwa kutoa elimu kwa wafanyabiashara na wananchi wa Manispaa ya Chake Chake juu kulipa kodi kwa hiari na kutoa risiti za Kielekronik. Katika uzinduzi…

7 Disemba 2023, 14:05

Siha yavuka lengo ukusanyaji mapato

Halmashauri Siha imevuka lengo la makusanyo ya mapato kwa kukusanya bilioni 8.24 robo ya mwaka. Na Elizabeth Mafie Halmashauri ya wilaya ya Siha mkoa wa Kilimanjaro imefanikiwa kuvuka lengo kwa kukusanya shilingi bilioni 8.24 katika robo ya Kwanza ya mwaka…

30 Novemba 2023, 14:00

Polisi wanawake watakiwa kutafuta fursa kufikia malengo

Jeshi la polisi mkoani Dodoma linashiriki katika maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia duniani zilizoanza novemba 25 na zinatarajiwa kufikia tamati Disemba 10. Na Arafa Waziri. Maofisa wa Jeshi la Polisi wanawake Mkoani Dodoma wametakiwa kufanya kazi…

29/11/2023, 13:30

TRA Pemba warejesha shukrani kwa walipa kodi

Amesema wao kama wakala wa serikali wa ukusanyaji wa kodi kila mwaka wamekuwa na utaratibu wa kurejesha shukurani kwa walipa kodi ili waone kwamba kodi wanayoitoa hurudi kwao kwa njia tofauti ikiwemo hiyo ya kutoa misaada ya kijamii. Na Is-haka…

29 Novemba 2023, 09:57

Serikali kutumia bilioni 40 kukarabati meli mbili ziwa Tanganyika

Serikali inatarajia kutumia jumla ya Shilingi Bilioni 40 kukarabati meli kongwe ya abiria na mizigo ya MV Liemba pamoja na meli ya mafuta ya MT Sangara yenye uwezo wa kubeba lita laki nne za mafuta ambayo  matengenezo yake  tayari yameanza. Akizungumza baada kutembelea na…

25 Novemba 2023, 6:31 um

RC Kusini Pemba: Lipeni kodi kwa maendeleo ya nchi

Mamlaka ya Mapato Tanzania( TRA) ni shirika la Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambalo lina wajibu wa kusimamia na kukusanya na kuhifadhi mapato yote kama ambavyo sheria zinasema na ni kwa niaba ya Serikali. Na Mwiaba Kombo Mkuu…

9 Novemba 2023, 12:39

Takukuru yashtukia upigaji fedha za kikundi Mbeya

Mwandishi Samweli Mpogole Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), mkoani Mbeya imefanikiwa kuokoa kiasi cha shilingi milioni 50, fedha za kikundi cha Isongole Bambo, wilayani Rungwe ambazo ni mkopo uliotolewa na halmashauri kwa ajili ya kuyawezesha makundi ya…

1 Novemba 2023, 12:08

Jiji la Dodoma latakiwa kuangalia vyanzo vipya vya mapato

Katika Mwaka wa fedha 2023/24 Halmashauri ya Jiji la Dodoma imekisia kukusanya na kutumia jumla ya shillingi 132,401,769,120 ambapo robo ya kwanza ya mwaka 2023 kuanza julai- septemba mapato yaliokusanywa ni 30,879,168,799. Na Yussuph Hassan. Halmshauri ya Jiji la Dodoma…

20 Oktoba 2023, 15:41

Wafanyabiashara Kigoma watakiwa kufuata kanuni na sheria za BoT

Wafanyabiashara mkoani Kigoma wametakiwa kufuata sheria za kubadilisha fedha za kigeni ili kuepuka kuingia kwenye migogoro na kuhujumu uchumi. Na, Lucas Hoha. Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoani Kigoma ACP Filemon Makungu amewataka wafanyabiashara wanaofanya biashara ya kubadilishana fedha za…