Radio Tadio

Mazingira

24 June 2023, 9:38 am

Mafinga Mji wagawa vifaa vya usafi

Na Sima Bingileki Halmashauri ya Mji Mafinga imekabidhi vifaa 11 vya kutunzia taka kwa uongozi wa Stendi Kuu ya mabasi Mafinga na Stendi ya Matanana lengo likiwa ni Kuimarisha Usafi wa Mazingira na uhifadhi mzuri wa taka hasa katika maeneo…

8 June 2023, 14:34 pm

Makala: NEMC Mtwara yateketeza taka za plastiki

Na Musa Mtepa. Siku ya mazingira duniani Juni 6, 2023 Baraza la taifa la uhifadhi wa mazingira mkoani Mtwara (NEMC) imeadhimishwa mkoani Mtwara kwa kuteketezwa kwa taka za plastiki zaidi ya kilo 600 zenye thamani ya shilingi milioni nne. Akizungumza…

7 June 2023, 10:15 am

Marufuku kufyatua tofali Bonde Mto Misunkumilo

MPANDA. Kufuatia katazo la kufanya shughuli za ufyatuaji tofali katika eneo la bonde la mto Misunkumilo mtaa wa Mpanda Hotel serikali ya kata imepiga marufuku shughuli hizo. Akizungumza na Mpanda Radio Fm afisa mtendaji wa kata hiyo Carolina Medadi Yohana…

4 June 2023, 4:39 pm

Sweden yatoa shilingi bilioni 10 utunzaji mazingira

Mradi wa SUSTAIN –ECO utasaidia kuhamasisha shughuli za maendeleo ambazo ni rafiki kwa mazingira ikiwa ni pamoja na kilimo cha kakao, miwa, mpunga, kilimo cha miti na shughuli zingine zinazoendeleza uhifadhi Na Katalina Liombechi Mradi wa SUSTAIN-ECO unakwenda kutatua changamoto…