Mazingira
23/08/2023, 11:55
Maji ya chumvi ni kero, mkuu wa wilaya atolea ufafanuzi
Changamoto ya maji safi na salama bado ni changamoto katika baadhi ya wilaya mkoani Geita, Licha ya ukosefu wa maji akini pia chumvi ipo. Na Kale Chongela- Geita Wananchi wa Kijiji na Kata ya Bumwang’oko Halmashauri ya mji wa Geita,…
15 Agosti 2023, 8:31 mu
Wafugaji wa Nyuki Waomba Ushirikiano kwa TAWA
NSIMBOUongozi wa wafuga Nyuki katika halmashauri ya Nsimbo mkoani Katavi wameiomba serikali Kupitia kamishna wa utunzaji wanyamapori Tanzania TAWA kuwaondolea vikwazo ambavyo vimekuwa Vikiwakwamisha katika shughuli za utafutaji. Akisoma risala mbele ya kamishna wa TAWA Tazania na Mbunge wa jimbo…
14/08/2023, 15:01
Wamiliki wa Mahotel wakumbushwa haki na wajibu wao wilaya ya Kati
Wamiliki wa Mahoteli wilaya ya Kati ametakiwa kuzipitia sheria na Kanunu za Serikali za Mitaa katika huduma ya uzoaji wa taka ili kuepusha migogoro baina yao na Baraza la mji. Wafanyabiasha wa Mahoteli Wilaya ya Kati wameshauriwa kuzisoma vyema Sheria…
9 Agosti 2023, 6:24 mu
Wadau wa Maendeleo Washauri Utunzaji wa Mazingira
MPANDA Wadau wa maendeleo manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wameuomba uongozi wa manispaa ya Mpanda kutunza mazingira ya msitu uliopo eneo La uwanja wa azimio pamoja na kuimarisha miundombinu ya barabara inayoingia hospitali ya manispaa. Wameyasema hayo katika kikao cha…
3 Agosti 2023, 6:26 um
Shughuli za kibinadamu chanzo uharibifu wa mazingira Maswa
Ongezeko la mifugo na ufugaji wa kienyeji,ukataji miti kwaajili ya ujenzi,kilimo,uchimbaji madini,kuni na mkaa umetajwa kuwa chanzo cha uharibifu wa mazingira. Na,Alex Sayi. Imebainishwa kuwa shughuli za kibinadamu zimeendelea kuchangia uharibifu wa mazingira Wilayani Maswa Mkoani Simiyu. Akizungumza na Radio…
3 Agosti 2023, 14:08
Vijana watakiwa kujikita katika utunzaji mazingira
Na Fred Cheti. Wito umetolewa kwa vijana kushiriki katika utunzaji wa mazingira ikiwemo kushiriki katika kampeni mbalimbali za upandaji miti ili kusaidia kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi. Rai hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Taasisi ya Maendeleo ya vijana Mkoa…
2 Agosti 2023, 15:43
Wakazi wa Fatina walalamika maji taka kutiririka mtaani
Hivi karibuni kumekuwa na changamoto ya kuzibuka kwa chemba za maji taka na kutiririsha maji katika mtaa wa Fatina, ambapo kwa mujibu wakazi wa eneo hilo chemba hizo huchukuwa takribani hadi muda wa siku 10 katika kuzibuliwa. Na Mariam Msagati.…
28 Julai 2023, 13:11
Wadau wa mazingira watakiwa kuanza kuandaa vitalu vya miti
Ama kweli penye nia pana njia haijalishi ni kianganzi ama masika lakini zoezi la upandaji miti limeendelea kufanyika. Na Mindi Joseph. Mkuu wa wilaya ya Dodoma Jabiri Shekimweri amewaomba wadau wa mazingira kuanza kuandaa vitalu vya upandaji miti kwa msimu…
26 Julai 2023, 08:06
Waziri Jafo ataka tathmini ya Mazingira ifanyike
Mamlaka ya bandari imepewa miezi mitatu ili kufanya ukaguzi wa mazingira (Environmental Audit) ili kuhakikisha Kuna ubora wa biashara ya makaa ya mawe Na Grace Hamisi Waziri wa nchi ofisi ya makamu wa Rais muungano na mazingira Mh. Selemani Jafo,…
23/07/2023, 11:37
Kilele cha wiki ya wananchi Kilosa, Yanga wafanya usafi kliniki ya mama na mtoto
Na Asha Madohola Katika kusherekea kilele cha wiki ya wananchi Julai 22 wanachama na mashabiki wa Tawi la Yanga Kilosa Mjini wamejitokeza kufanya usafi wa mazingira katika Kliniki ya Mama na Mtoto Kilosa. Wananchi hao wa jangwani waliamua kuungana kwa…