Radio Tadio

Mazingira

30 January 2023, 9:32 am

Jeshi la Polisi laongoza zoezi la usafi Kilosa

Mkuu wa Polisi Wilaya ya Kilosa  (OCD)  Hasani Selengu ameliongoza Jeshi la Polisi Wilaya ya Kilosa Katika  Kufanya Usafi  katika Hospitali ya Wilaya ya Kilosa leo Januari 27 Mwaka huu 2023 .. Wakati wakendelea kufanya  usafi huo  wa kufyeka nyasi…

14 January 2023, 7:55 am

TMA yatahadhari mvua kubwa mikoa sita

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imetoa angalizo la uwepo wa mvua kubwa zinazoweza kunyesha hii leo Jumamosi Januari 14, 2023 katika maeneo machache ya mikoa ya Morogoro, Singida, Dodoma, Iringa, Njombe na Ruvuma.   TMA kupitia taarifa yake…

11 January 2023, 2:14 pm

Chamwino wajadili mustakabali wa utunzaji Mazingira

Na; Mariam Kasawa. Mkuu wa Wilaya ya Chamwino, Pamoja na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Chamwino jana amekutana na Wadau wa Mazingira, watendaji wa Kata, Viongozi wa Taasisi za Umma na Wahe. Madiwani kwa ajili ya kujadili masuala mbali mbali…

18 December 2022, 12:41 pm

Iringa yapaa Kimataifa uhifadhi wa Mazingira

Meya wa Manispaa ya Iringa, Ibrahim Ngwada amesema Tanzania imepaa tena kimataifa baada ya mji wa Iringa kuorodheshwa kuwa ni mojawapo kati ya miji 15 Duniani, ambayo inazingatia usafi na utunzaji wa Mazingira. Ngwada ameyasema hayo wakati akiongea na waandishi…

15 December 2022, 9:56 pm

Majaliwa agawa nyumba kwa watumishi wa serikali Mlele

MLELE Waziri Mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania amezigawa nyumba Kwa watumishi wa serikali katika halmashauri ya wilaya ya Mlele kutokana na kutokaliwa na watu na kuharibika. Ameyasema hayo wakati akizungumza na watumishi wa umma wa halmashauri hiyo ambapo…

23 November 2022, 6:38 pm

Wafugaji wametakiwa kuondoa mifugo yao katikati ya mji

MPANDA Wafugaji kata ya Kashaulili Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wametakiwa kuondoa mifugo yao na kufugia nje ya mji. Katazo hilo limetolewa na Afisa mtendaji wa kata ya Kashaulili Merry Ngomarufu ambapo amesema wafugaji wote wenye mifugo iliyopo katika kata…