Radio Tadio

Mazingira

18 April 2023, 6:06 pm

NEMC yaanza oparesheni kudhibiti vifungashio visivyo takiwa

Mnamo tarehe 1 Juni, 2019, Serikali ilipiga Marufuku Uzalishaji; Uingizaji nchini, Usafirishaji nje ya nchi; Usambazaji; na Matumizi ya mifuko ya plastiki kwa kile kinachodaiwa kuwa mifuko hiyo ni chanzo cha uchafuzi wa mazingira. Na Fred Cheti. Serikali kupitia baraza…

16 April 2023, 3:17 pm

Mabaki ya Mazao na Utunzaji wa Mazingira

KATAVI Ili kuinua uchumi na kusaidia kulinda mazingira Wananchi mkoani Katavi wameaswa kutumia majiko Banifu katika shughuli zao. Mtaalamu wa Masuala ya Mazingira Manispaa ya Mpanda Bwana Prosper Mwesiga amesema kuwa matumizi ya Majiko banifu yanasaidia kwa kiwango kikubwa upunguzaji…

11 April 2023, 1:00 pm

Serikali yapiga marufuku matumizi ya vifungashio vya plastiki

Na Fred Cheti. Serikali hivi karibuni ilipiga marufuku matumizi yasiyo sahihi ya mifuko  laini ya plastiki kutumika kama vibebeo vya bidhaa huku jambo hilo likitajwa kuwa ni ukiukwaji wa sheria  ambapo imeahidi  kuwachukulia hatua wanaofanya hivyo Baada ya tamko hilo…

6 April 2023, 5:21 pm

Wawekezaji Mundemu wapewa siku 45 kudhibiti vumbi

Hivi karibuni Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC)- Kanda ya Kati kwa kushirikiana na Ofisi ya Afisa Madini Mkazi – Dodoma na Ofisi ya Mkurugenzi wa Wilaya ya Bahi ilifanya Ukaguzi katika eneo la mradi huo.…

5 April 2023, 5:16 pm

Ishi na mti kauli njema ya kutunza mazingira

Kampeni ya ISHI NA MTI ni kampeni iliyoanzishwa na Kampuni ya Dodoma Media Group kwa lengo la kuunga mkono juhudi za serikali katika utunzaji wa Mazingira hasa upandaji wa miti katika maeneo mbalimbali ya jiji la Dodoma. Na Fred Cheti.…