Radio Tadio

Maendeleo

September 22, 2023, 8:57 am

Fedha zachangwa msibani kutatua changamoto ya barabara Makete

Kutokana na ubovu wa miundombinu ya barabara katika kijiji cha Igolwa kilichopo wilaya ya Makete – Njombe wananchi wamelazimika kuchangisha fedha katika matukio mbalimbali ikiwemo misiba ili kujikwamua na changamoto hiyo. Na Aldo Sanga. Wananchi wa kijiji cha Igolwa wameomba…

21 September 2023, 5:33 pm

Washiriki 400 waanza maonesho katika viwanja vya EPZA Geita

Washiriki kutoka mataifa mbalimbali kama vile China, Rwanda, Burundi na mengineyo yameshiriki maonesho hayo ya 6 yaliyoanza rasmi mwaka 2018. Na Zubeda Handrish- Geita Mkuu wa Mkoa wa Geita Martin Shigela amesema kuwa maonesho ya dhahabu ambayo yameanza jana Septemba…

21 September 2023, 4:08 pm

Milioni 362 kujenga stendi ya vumbi Tukuyu mjini

Kukamilika kwa stendi ya vumbi maarufu kama stendi ya Noah Tukuyu mjini itakuwa chachu ya maendeleo kwani itaondoa adha ya watumiaji wa stendi hiyo kwa msimu wa masika na kiangazi. Na Lennox Mwamakula – Rungwe-MbeyaJumla ya shilingi milioni 362 zimetengwa…

20 September 2023, 2:58 pm

Nyumba kuezuliwa serikali mkoani Geita yaingilia kati

Serikali Mkoani Geita imetoa tahadhari kwa watu wenye makazi duni kuhakikisha wanaboresha makazi yao ili kuepuka madhara kutokana na mvua zilizoanza kunyesha nakuleta madhara kwa baadhi ya wananchi. Na Mrisho Sadick: Siku chache baada ya Nyumba kadhaa kuezuliwa na mvua…

14 September 2023, 12:50 pm

Mgodi wa Buckreef walipa fidia kwa wananchi

Mgodi wa Buckreef umechukua eneo la wananchi wa Lwamgasa lenye kilomita za mraba 12 kwa ajili ya kupanua shughuli za uzalishaji wa mgodi huo. Mgodi wa Uchimbaji madini ya dhahabu wa buckreef uliopo kata ya Lwamgasa Jimbo la busanda wilaya…

14 September 2023, 12:18 pm

Madiwani Tanganyika watakiwa kusimamia miradi inayoanzishwa na wananchi

Serikali itaendelea kusimamia utekelezaji wa miradi yote ya serikali na kuhakikisha wanatoa huduma bora kwa wananchi. Na Kilian Samwel – TanganyikaMadiwani halmashauri ya Tanganyika mkoani Katavi wametakiwa kusimamia miradi inayoanzishwa na wananchi pamoja na kuwashirikisha katika miradi mbalimbali ya serikali.…

12 September 2023, 9:23 pm

Makoongwe waomba huduma bora za kijamii

Wananchi wa kisiwa cha Makoongwe kinachopatikana mkoa wa Kaskazini Pemba wameomba kupatiwa huduma mbalimbali za kijamii kutokana na huduma hizo kukosekana muda mrefu na kumtaka mbunge wa jimbo la Mkoani kutimiza wajibu wake kwao. Na Khatib Juma Wananchi wa shehia…