Radio Tadio

Lishe

12 October 2026, 12:08 pm

Mara waja na ‘rudi nyumbani jenga nyumbani’

“Kampeni hii imeanzishwa kutokana na baadhi ya wazawa wa Mara kuondoka katika mkoa huu na kwenda kutafuta fursa za kiuchumi katika maeneo mengine, ambako wamekuwa wakijenga nyumba nzuri, kuanzisha biashara na kuwekeza katika shughuli mbalimbali, huku maeneo yao ya asili…

15 September 2026, 12:54 pm

Idara ya afya Manyara kuyakabili magonjwa ya mlipuko

Mkoa wa Manyara kupitia idara ya afya imechukua tahadhari za kukabiliana na magonjwa ya mlipuko yanayoweza kujitokeza kutokana na mvua za El Nino. Na Mzidalfa Zaid Kufuatia utabiri wa mvua za El NiƱo katika maeneo mbalimbali nchini, Idara ya Afya…

10 September 2026, 11:12

Mwenge kutembelea miradi 7 ya zaidi ya bil. 37 Kasulu

Mwenge wa uhuru 2026 umeendelea na mbio zake katika Halmashauri ya mji wa Kasulu ambapo unatembelea, kukagua na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo. Na Hagai Ruyagila Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kasulu mkoani Kigoma, Mwl. Vumilia Julius Simbeye, amepokea Mwenge…

31 January 2024, 1:35 pm

Wananchi watakiwa kuzingatia lishe bora kwa watoto

Jamii imeshauriwa kuzingatia lishe bora kwa watoto ili kujenga mwili pamoja na kuimarisha afya ya akili kwa ujumla. Na Sabina Martin Wanafunzi waliopatiwa elimu ya lishe bora halmashauri ya wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya wametakiwa kuwa mabalozi wa lishe katika…

26 September 2023, 4:07 pm

Wanawake washauriwa kuzingatia kanuni za unyonyeshaji

Wanawake wazingatie kanuni za unyonyeshaji ili kuwalinda Watoto na magojwa yasio ya kuambukizwa. Na Gladness Richard – Mpanda Wanawake wanaonyonyesha watoto manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wameshauriwa kuzingatia kanuni za unyonyeshaji ili kuwalinda watoto na magojwa yasiyo ya kuambukizwa. Maziwa…