Radio Tadio

Lishe

16 August 2023, 17:09

Umaskini watajwa kuchangia lishe duni

Lishe ni muhimu kwa afya ya Watoto na Watu wazima ambapo ulaji duni kwa Watoto unaweza kusababisha mashambulizi ya maradhi kama vile utapiamlo na udumavu wa mwili. Na Yussuph Hassan. Ukata wa Maisha pamoja na Elimu duni kwa baadhi ya…

8 August 2023, 10:45 am

Wazazi washauriwa kunyonyesha mtoto kwa wakati

Mratibu wa lishe Halmashauri ya Mji Masasi Happiness Mlamka ametoa rai kwa jamii ya Halmashauri ya Mji wa Masasi wakiwemo waajiri na kinababa Mkoani Mtwara  kutoa ushirikiano wa kutosha kwa kinamama wanaonyonyesha watoto ili waweze kuwanyonyesha watoto wao katika hali…

30 June 2023, 17:34

Familia zatakiwa kuzingatia lishe bora Bahi

Ulaji unaofaa kwa kuzingatia makundi matano ya vyakula unajenga kinga ya mwili na kukabiliana na maambukizi ya magonjwa mbalimbali. Na Mindi Joseph. Jamii imehimizwa kuendelea kuzingatia mlo kamili ikiwemo makundi matano ya chakula ili kujenga familia zenye afya bora. Savera…

26 May 2023, 10:42 am

Magogo yapigwa marufuku buchani

MPANDA Wadau wanaozalisha mazao yatokanayo na mifugo mkoa wa Katavi , wametakiwa kufuata sheria, ikiwemo kuboresha usafi katika mabucha, na kuepuka matumizi ya magogo na vyuma vyenye kutu ili kulinda afya ya walaji. Maagizo hayo yametolewa na Afisa Mfawidhi wa…

2 May 2023, 9:18 pm

Wananchi Waomba Elimu ya Lishe kwa Wajawazito

KATAVI. Baadhi ya wananchi wa manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wameomba kupatiwa elimu juu ya umuhimu wa lishe bora kwa mama mjamzito. Wakizungumza na kituo hiki wananchi hao wamesema hawapatiwi elimu juu ya lishe bora kwa mama mjamzito zaidi ya…

17 April 2023, 16:50

Wananchi wakosa elimu ya mboga lishe

Mboga lishe ni miongoni mwa bidhaa za mbogamboga zinazopatikana katika masoko mbalimbali jijini Dodoma ingawa bidhaa hii imekuwa ikipatikana kwa uchache . Na Thadei Tesha. Baadhi ya wafanyabiashara wa mboga lishe jijini Dodoma wamesema kuwa ukosefu wa elimu pamoja na…