Radio Tadio

Habari za Jumla

28 Febuari 2024, 09:45

kamchape wahatarisha usalama Kasulu

Kufuatia uwepo wa migogoro ya ardhi na suala la ramli chonganishi inayofanywa na watu wanaojiita Kamchape katika kata ya Mganza iliyopo halmashauri ya Mji Kasulu Mkoani Kigoma imepelekea suala la ulinzi na usalama kuwa changamoto katani humo. Afisa mtendaji wa…

28 Febuari 2024, 08:58

Vyama vya siasa kushirikishwa vyanzo vipya vya mapato Kasulu

Watendaji wa kata zilizopo ndani ya halmashauri ya Mji Kasulu Mkoani Kigoma wametakiwa kuwashirikisha madiwani na viongozi wa vyama vya siasa pindi wanapoanzisha vyanzo vipya vya mapato katika kata zao. Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Wilayani…

27 Febuari 2024, 19:56

Rc Songwe awapongeza walimu

Na mwandishi wetu, Songwe Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Mhe. Dkt. Francis K. Michael, ametembelea na kukagua hali ya ufundishaji na ujifunzaji katika Shule ya Msingi Katete iliyopo Kata ya Mpemba na Shule ya Msingi Mpemba iliyopo Kata ya Katete…

27 Febuari 2024, 19:12

Mahundi akusanya 50m ujenzi wa kanisa KKKT Sinai Mbeya

Na Hobokela Lwinga Naibu Waziri wa Maji ambaye pia ni Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mbeya Mhandisi Maryprisca Mahundi ameongoza harambee ya ujenzi wa Kanisa la Kiiinjili la Kilutheri Tanzania(KKKT)Dayosisi ya Konde Usharika wa Sinai Jijini Mbeya ambapo amechangia…

27 Febuari 2024, 16:47

Bilioni 52 zatekeleza miradi ya maendeleo kibondo

Serikali kwa kipindi cha miaka mitatu Wilayani Kibondo Mkoani Kigoma imetekeleza miradi ya zaidi ya shilingi bilioni 52 na kuleta manufaa kwa wananchi. Na, James Jovin Zaidi ya shilingi bilioni 52 zimetumika kutekeleza miradi mbali mbali ya maendeleo katika wilaya…