Radio Tadio

Habari za Jumla

October 13, 2021, 12:45 pm

Wakulima wapewa ruzuku za pembejeo

Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Festo Kiswaga amewataka wakulima waliopatiwa ruzuku za pembejeo za kilimo na halmashauri kuhakikisha wanatumia vizuri pembejeo hizo kwenye kilimo kama ilivyokusudia. Festo kiswaga ameyasema hayo wakati akigawa  pembejeo hizo kwa wakulima ambapo amesema wakulima waliopatiwa …

October 13, 2021, 9:13 am

Mila na desturi zazuia fursa nyasa

Wanawake wa wilaya ya nyasa mkoani Ruvuma,wailalamikia serikali kwa kukosa fursa ya kufanya kazi mbalimbali ikiwemo uvuvi katika ziwa nyasa na uuzaji wa samaki. unyanja fm ilifika mpaka ziwani na kuongea na baadhi ya wanawake hao,wanao jihusisha na biashara ya…

13 October 2021, 8:58 am

Mufti Mkuu Tanzania: Bakwata tafuteni hati

OKTOBA 6, 2021 KATAVI Mufti na Shekh Mkuu wa Tanzania Abubakar bin Zuberi amewataka makatibu wa misikiti yote Mkoani katavi kuhakikisha wanapata hati miliki za viwanja vyote vinavyomilikiwa na baraza la waislam Tanzania BAKWATA. Shekh mkuu wa Tanzania ameyasema hayo…

13 October 2021, 8:56 am

Wivu wawanyima uhuru watumishi

RUNGWE-MBEYA Wivu wa maendeleo imetajwa kuwa moja kati ya sababu zinazopelekea waajiri wengi wa wafanyakazi wa majumbani kutowaruhusu wafanyakazi wao kuendesha miradi yao. Wakizungumza na waandishi wetu baadhi ya wananchi wilayani hapa wamesema kwamba baadhi ya waajiri wanaogopa kuzidiwa kipato…