Radio Tadio

Habari za Jumla

26 March 2021, 11:52 am

Magufuli atakumbukwa kwa utendaji wake

Na; Mariam Kasawa. Hayati Dkt.John Pombe Magufuli atakumbukwa kwa  utendaji kazi wake kwani alikuwa hodari tangu akiwa Waziri hadi  alipoteuliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hayo yamesemwa na Rais Mstaafu wa awamu ya Nne Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete…

26 March 2021, 11:23 am

Vyombo vya ulinzi na usalama vitamtii Rais Samia

Na; Mariam Kasawa Mkuu wa Majeshi  nchini Tanzania (CDF) Venance Mabeyo amemuhakikishia Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mama Samia Suluhu Hassan kuwa vyombo vya ulinzi na usalama vitamtii na kutekeleza majukumu yake kama ilivyoainishwa kwenye Katiba ya Jamhuri…

26 March 2021, 10:29 am

Wakazi wa Chamwino waahidi kuziishi ndoto za Rais Magufuli

Na Selemani Kodima Mkuu wa wilaya ya Chamwino Vumilia Nyamoga amesema wataendelea kumkumbuka Hayati Magufuli kwa Juhudi zake ambazo alizionesha kwa wakazi wa Chamwino katika Huduma za Msingi ikiwemo Huduma ya Maji na umeme. Bi Nyamoga amesema Hayati Magufuli alionyesha…

26 March 2021, 9:49 am

Ihumwa waomba kuboreshewa soko

Na; Shani Nicolaus.           Wafanyabiashara  katika Mtaa wa Ihumwa jijini Dododma wametoa wito wa kukarabatiwa soko lao ili waepukane na changamoto wanayokumbana nayo hasa msimu wa mvua. Wakizungumza na Dodoma fm wafanyabiashara hao wameomba kutatuliwa adha hiyo mara baada ya kukamilika…

26 March 2021, 8:13 am

Uwajibikaji wa Vijana ni matunda ya kumuenzi Rais Magufuli

Na; Selemani Kodima Vijana Nchini wametakiwa kuendelea kuwajibika na kuonesha Uzalendo katika Majukumu yao ili kuenzi uzalendo ambao uliooneshwa na Hayati Rais Magufuli wakati wa Utawala wake. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi   Mtendaji wa  Taasisi ya maendeleo ya Vijana Dodoma DOYODO…

25 March 2021, 3:58 pm

Maelfu ya wananchi Mkoa Simiyu wamlilia JPM

Maelfu ya wananchi mkoani Simiyu wamejitokeza kwa wingi katika misa takatifu ya kumuombea aliyekuwa rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania hayati Dkt.John Pombe Magufuli ikiwa na lengo la kumuombea kwa MUNGU apumzike kwa amani milele. Akiongoza maelfu ya wananchi…