Radio Tadio

Habari za Jumla

19 March 2021, 12:30 pm

Wanawake wategemea ardhi kujipatia kipato

Na, Alfred Bulahya. Imeelezwa kuwa wanawake zaidi ya asilimia 50% wanategemea ardhi kwaajili ya kipato chao, Kauli hiyo imetolewa na Kamishna Ustawi wa jamii Dkt Naftali Ng’ondi jijini Dodoma wakati akifungua mkutano uliokuwa ukifanyika kwa njia ya mtandao ambao umehusisha…

19 March 2021, 6:32 am

Taasisi zisizo za kiserikali zamlilia Magufuli

Na, Alfred Bulahya. Taasisi isiyo ya Kiserikali ya MEFADA kwa kushirikiana na YCR (Youth and Community Rehabilitation) zinazojishughulisha na suala la kupambana na dawa za kulevya na ukimwi, imeitaka jamii kuendelea kuenzi mambo muhimu yaliyofanywa na aliyekuwa rais wa Jamhuri…

18 March 2021, 12:59 pm

Wakazi wa Dodoma wayakumbuka mema ya Magufuli

Na , Yusuph Hans, Moja ya Alama Kuu aliyoiacha Rais wa Awamu ya tano Dkt John Pombe Magufuli hususan kwa wakazi wa  Mkoa wa Dodoma ni pamoja na kuhamishia shughuli zote za Kiserikali Mkoani hapa. Wakizungumza na Taswira ya habari…

18 March 2021, 10:42 am

Vilio vyatanda wajasiriamali Dodoma

Na, Shani Nicholous. Wajasiriamali jijini Dodoma wamepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kuondokewa na aliyekuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania hayati Dkt.John Pombe Magufuli. Wakizungumza na taswira ya habari wajasiriamali hao wamesema kuwa watamkumbuka kwa mengi aliyowatendea kwani…

18 March 2021, 9:50 am

Watanzania waaswa kuendelea kuliombea Taifa

Na, Mariam Kasawa. Watanzania  wametakiwa kuendelea kumuomba Mungu awape faraja katika kipindi hiki kigumu  ili kuliwezesha Taifa kusonga mbele. Hayo yamesemwa na mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dkt. Fredrick Shoo leo wakati akitoa salamu za pole…

18 March 2021, 7:51 am

Watanzania wamlilia Rais Dkt.Magufuli

Na, Mariam Kasawa. Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza kifo cha Rais Dr John Pombe Magufuli kilichotokea Machi 17 2021. Akithibitisha kifo hicho makamu wa rais Samia Suluhu amesema kwamba rais Magufuli alianza kuugua mnamo tarehe 6 mwezi Machi…