Radio Tadio

Habari za Jumla

17 Januari 2024, 12:48 um

Madiwani Halmashauri ya Mpimbwe wajifunza Biashara ya Hewa ukaa

Utunzaji wa Misitu na upandaji Miti unahusisha biashara ya hewa ukaa .Picha na Mtandao Wanatarajia kuanza kufanya Biashara hiyo kutokana kuwa  na Maeneo yanayoruhusu kufanya   Biashara ya Hewa ukaa. Na Betord Benjamini-Katavi Baraza la Madiwani Halmashauri ya Mpimbwe wilayani…

5 Januari 2024, 17:38

Mafuriko yazihamisha kaya 17 wilayani Kasulu

Takribani Kaya 17 katika mtaa wa Kigungani Kata ya Mwilanvya Halmashauri ya Mji Kasulu Mkoani Kigoma zimekumbwa na mafuriko kufuatia mvua kubwa iliyonyesha hapo jana na kupelekea baadhi ya kaya kuhama. Na, Hagai Ruyagila Mvua hiyo iliyodumu kwa zaidi ya…

4 Januari 2024, 12:45 um

Kyela:Samia atua rasmi Kyela

Wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hasan akiendelea kutekeleza miradi mikubwa yenye fedha nyingi jukwaa la kumsemea MAMA maarufu kama CHAMATA limeanzishwa rasmi wilayani kyela na kufanya uchaguzi wa viongozi wake. Nsangatii Mwakipesile Umoja wa jukwaa…

28 Disemba 2023, 18:00

Rungwe waandaa bajeti ya mwaka 2024/25

Na mwandishi wetu Maandalizi ya Bajeti ya Halmashauri ya wilaya ya Rungwe kwa mwaka wa fedha 2024/25 yameendelea katika ukumbi wa kituo cha Kilimo Ilenge kata ya Kyimo. Pamoja na mambo mengine Watalamu wameendelea kuchakata vipaumbele vitakavyosaidia kuleta maendeleo endelevu…

26 Disemba 2023, 3:59 um

Matukio makubwa Ngorongoro

Matukio makubwa kwa wilaya ya Ngorongoro kwa wiki mbili zilizopita na yaliyowagusa wananchi walio wengi wilayani hapa ni pamoja na ujio wa mkuu mpya wa wilaya wengi wakisubiri kuona utendaji wake wa kazi. Na Edward Shao. Haya hapa ni matukio…

19 Disemba 2023, 20:32

(KDU) LTD Kukusanya zaidi ya Sh. Mil 86 kwa Mwaka 2024

Karagwe Na David Geofrey Kayanga Duka la Ushirika (KDU) L.T.D inakusuduia kukusanya zaidi ya shilingi milioni 86 kutoka katika  vyanzo mbalimbali vya mapato kwa mwaka 2024 na kuendeleza miradi yao. Akiwasilisha taarifa ya utekelezaji mbele ya wajumbe wa mkutano mkuu…

17 Disemba 2023, 10:59 mu

Tulia asambaza ujumbe wa upendo kwenye jamii

katika kuhakikisha jamii inakuwa na usawa Taasisi ya Tulia Trust imeendelea kukipinda bendera ya yenye ujumbe wa upendo na kwa kuwatembelea watu wenye mahitaji mbalimbali wirayani Rungwe. Afisa Habari wa Taasisi ya Tulia Ttrust Joshua Mwakanolo akiwa na vijana pamoja…