Habari za Jumla
16 February 2024, 15:31
uwepo wa masoko ya uhakika kutatua changamoto za wakulima
Wakulima Katika Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma, wameiomba Serikali kusaidia upatikanaji wa soko la uhakika la kuuza mazao ya mahindi na maharage, kufuatia ongezeko kubwa la uzalishaji wa mazao hayo, ikiwa ni baada ya kupatiwa mbinu za uzalishaji…
16 February 2024, 2:44 pm
Kinababa pelekeni watoto kwenye chanjo
Jamii imetakiwa kuona umuhimu wa kuwapeleka watoto wao kupatiwa chanjo ili kuwakinga na maradhi mbalimbali. Na Mrisho Shabani: Kina baba Mkoani Geita wametakiwa kujitokeza kwa wingi kuwapeleka watoto wao wenye umri wa kuanzia miezi tisa hadi miaka mitano kupatiwa chanjo…
16 February 2024, 8:12 am
Ni muhimu kuwepo na uwiano wa kijinsia katika nafasi za uongozi?
Pamoja na jitihada na utekelezaji wa sera katika kuhakikisha kunapatikana usawa wa kjinsia katika nafasi za kiuongozi mashirika ya kijamii pia yananafasi kubwa mno haswa kuhamasisha jinsia ambazo hazishiriki kwa sehemu kubwa katika kutafuta nafasi hizo za kiuongozi. Na Wanahabari…
15 February 2024, 22:28
Ruangwa wazindua zoezi la chanjo ya surua, rubela
Ruangwa yazindua zoezi la chanjo ya surua na rubela
15 February 2024, 20:49
CBT yawanoa VEOs, maafisa ugani, makarani kidigtali zaidi
Bodi ya Korosho Tanzania yawanoa maafisa ugani,watendaji kata na makarani Ruangwa.
15 February 2024, 7:34 pm
Ubovu wa barabara wachangia kushuka kwa mapato Makete
Ubovu wa barabara Makete umepelekea kupotea kwa mapato hali iliyomfanya mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Makete Mh. Christopher Fungo kuagiza mamlaka husika kuchukua hatua za maksudi ili kunusuru kupotea kwa mapato . Na Ombeni Mgongolwa Baraza la Madiwani la…
15 February 2024, 15:37
Viongozi wa dini Mbeya kuadhimisha maridhiano day kwa kufanya kazi za kijamii
Na Hobokela Lwinga Kuelekea katika kilele cha siku ya maridhiano nchini ambayo kitaifa inatarajiwa kufanyika mkoani mbeya,viongozi wadini wameanza kufanya shughuli mbalimbali za kijamii ikiwemo upandaji miti,uchangiaji wa damu pamoja na utoaji elimu ya kupinga ukatili wa kijinsia. Akizungumza katika…
15 February 2024, 12:22 am
Amuua mke wake, atokomea kusikojulikana
Matukio ya ukatili kwa wanawake hususani ya mauaji yameshamiri kwa mwezi Februari wilayani Ngorongoro ya wanaume kuwaua wake zao hili likiwa ni tukio la pili kwa mwanaume kumua mkewe ndani ya wiki moja tu. Na Edward Shao. Kijana mmoja anayejulikana…
14 February 2024, 21:42
DC Songwe asimamisha mchakato utoaji leseni mlima Elizabeth
Na Ezekiel Kamanga,Songwe Mkuu wa Wilaya ya Songwe mkoa wa Songwe Solomon Itunda amesimamisha mchakato wa utoaji leseni ulioanza kutolewa eneo la Bafex lililopo mlima Elizabeth kata ya Saza wilaya ya Songwe mkoa wa Songwe. Itunda amechukua hatua hiyo katika…
14 February 2024, 21:16
Ubovu wa magari wasababisha kuzorota kwa huduma za afya kwa wananchi Mbeya
Na mwandishi wetu Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Cde: Juma Homera amewataka Madreva wa Magari ya Serikali kuyatunza Vyema na kujiepusha na Matumizi mabovu ya Barabara ikiwemo Kutembea Mwendo Mkali na kutojali alama za Barabarani Hali inayolelekea Ajali zisizo na…