Radio Tadio

Afya

13 Oktoba 2023, 13:25

Wananchi Kakonko wakabiliwa na changamoto ya huduma za afya

Na Jame Jovin Wananchi wa kijiji cha Nyakivyiru wilayani Kakonko mkoani Kigoma wameiomba halimashauri ya wilaya hiyo kuwajengea zahanati ili kuepuka kutembea umbali wa zaidi ya kilometa 30 kufuata huduma za afya hali ambayo hupelekea vifo hasa kwa akina mama…

11 Oktoba 2023, 12:58

Magonjwa zaidi ya 290 yanasababisha afya ya akili

Katika kukabiliana na ugonjwa wa afya ya akili wananchi wanashauriwa kufika kwenye vituo vya afya vinavyotoa huduma za afya ili kupima na kujua hali zao. Na Rachel Malango Tanzania inaungana na mataifa mengine ulimwenguni kuadhimisha kilele cha siku ya afya…

11/10/2023, 09:04

BMH kuanzisha upasuaji wa moyo kwa watu wazima

Katika kuadhimisha Miaka 8 ya Mafanikio Hospitali ya Benjamin Mkapa zaidi ya wananchi 100 wamepatiwa huduma ya Nyonga na kupunguza gharama na usumbufu. Na Mindi Joseph. Katika kuadhimisha miaka 8 Hospitali ya Benjamin Mkapa inatarajia kuanzisha huduma za upasuaji wa…

10 Oktoba 2023, 5:12 um

Umuhimu wa kupima afya ya uzazi kabla ya ndoa-Kipindi

Amina Masoud Suala la kujiuliza je, ndoa inashabihianaje na afya, ndoa ni makubaliano ya hiari kati ya mwanamke na mwanamme. Kila anayeingia katika ndoa anahitaji kupata tulizo la moyo wake na hapa wahenga walisemaa tulizo la moyo ni kupata mke…

10 Oktoba 2023, 09:04

Malinyi kunufaika na klinik tembezi

Na Jackson Machoa/Morogoro Mkuu wa wilaya ya Malinyi mkoani Morogoro Mh. Sebastian Waryuba amezindua mradi wa klinik tembezi wenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 210 uliofadhiliwa na nchi ya Uswiz kupitia shirika lisilo la kiserikali la Solider Med ili…