Radio Tadio

Afya

24 October 2023, 8:47 am

Viongozi wa dini watakiwa kufikisha elimu ya lishe Pemba

Kuwepo kwa upungufu wa virutubisho lishe kwa jamii wizara ya elimu na mafunz, ya amali  kwa kushirikiana na wizara ya afya Zanzibar  kuwasaidia  wanafunzi kuwapatia virutubisho hivyo kwa lengo la kuijenga jamii yenye afya njema. Na Amina Masoud Viongozi wa…

18 October 2023, 09:14

Wasichana wapaswa kutambua hedhi ni fahari

Elimu ya hedhi salama shuleni hapo imeambatana na zoezi la kugawa taulo za kike kwa wasichana hao wa shule ya msingi Nkuhungu. Na Mariam Kasawa. Wasichana balehe  wametakiwa kutambua kuwa hedhi ni fahari ya kila mwanamke hivyo wanapaswa kuifurahia na…