Afya
11 October 2023, 11:14 am
Asilimia 80 ya wagonjwa wa akili wamerithi ugonjwa huo
Inasadikiwa kuwa mtoto mmoja kati ya sita walio na umri wa chini ya miaka 18, ana uwezekano wa kuwa na tatizo la afya ya akili hata hivyo asilimia 75 ya watu hao hawapati huduma ya afya wanayohitaji. Na Selemani Kodima.…
11 October 2023, 9:04 am
BMH kuanzisha upasuaji wa moyo kwa watu wazima
Katika kuadhimisha Miaka 8 ya Mafanikio Hospitali ya Benjamin Mkapa zaidi ya wananchi 100 wamepatiwa huduma ya Nyonga na kupunguza gharama na usumbufu. Na Mindi Joseph. Katika kuadhimisha miaka 8 Hospitali ya Benjamin Mkapa inatarajia kuanzisha huduma za upasuaji wa…
10 October 2023, 5:12 pm
Umuhimu wa kupima afya ya uzazi kabla ya ndoa-Kipindi
Amina Masoud Suala la kujiuliza je, ndoa inashabihianaje na afya, ndoa ni makubaliano ya hiari kati ya mwanamke na mwanamme. Kila anayeingia katika ndoa anahitaji kupata tulizo la moyo wake na hapa wahenga walisemaa tulizo la moyo ni kupata mke…
10 October 2023, 2:50 pm
Elimu yahitajika kukomesha unyanyapaa kwa wagonjwa wa afya ya akili
“Magonjwa ya afya ya akili yanatibika iwapo utabaini mapema na kuanza matibabu“ Na Mwandishi wetu Kukosekana kwa elimu ya kutosha kwenye jamii juu ya magonjwa ya afya ya akili kumechangia unyanyapaa kwa watu wanaougua magonjwa hayo. Hayo yamesemwa na mwanasaikologia…
10 October 2023, 09:04
Malinyi kunufaika na klinik tembezi
Na Jackson Machoa/Morogoro Mkuu wa wilaya ya Malinyi mkoani Morogoro Mh. Sebastian Waryuba amezindua mradi wa klinik tembezi wenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 210 uliofadhiliwa na nchi ya Uswiz kupitia shirika lisilo la kiserikali la Solider Med ili…
9 October 2023, 2:28 pm
Jamii Katavi yashauriwa kuwa na matumizi sahihi ya uzazi wa mpango
Jamii Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi imeshauriwa kuwa na matumizi sahihi ya uzazi wa mpango Na Kalala Robert & Veronica Mabwile – MpandaJamii Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi imeshauriwa kuwa na matumizi sahihi ya uzazi wa mpango ili kuwa na…
7 October 2023, 8:11 am
Ujio wa vituo vya afya kuwa mkombozi kwa wananchi
kituo cha afya ndanto {picha na lennox mwamakula} wananchi wafurahia huduma ya afya wilaya rungwe kutokana na kuondokana na changamoto ya muda mrefu. RUNGWE-MBEYA Na lennox mwamakula Jumla ya wakazi elfu kumi na nanene wanaenda kunufaika na huduma ya afya …
October 5, 2023, 8:39 am
DC Sweda akasirishwa kituo cha afya kutofanya huduma za upasuaji
Kituo cha afya Lupila kwa muda mrefu sasa kimeshindwa kutoa huduma za upasuaji sababu zikiwa ni kukosekana kwa mtaalam wa upasuaji na kupelekea adha kubwa kwa wananchi wanaolazimika kutembea umbali mrefu kufuata huduma za afya kilomita zaidi ya 50 hadi…
3 October 2023, 19:09
Umuhimu wa kutunza macho yako ukiwa kazini
Katika maisha yetu ya kila siku tunashauriwa kutunza macho yetu kwa kupunguza matumizi ya simu pamoja na komputa hasa ukiwa kazini. Na Mpoki Japheth Wananchi mkoani Mbeya wameshauriwa kutunza macho yao ili kuepukana na changamoto ya tatizo la uoni hafifu.…
October 2, 2023, 8:53 am
Serikali yatoa fedha ukarabati wa hospitali ya wilaya Makete
Kupitia uchakavu wa Hospitali ya wilaya ya Makete serikali umetoa fedha zaidi ya shilingi milioni miatisa (900) kukarabati miundombinu ikiwemo Majengo Majengo makubwa matano (5) yamejengwa Hospitali ya Wilaya ya Makete kwa fedha za Serikali zaidi ya shilingi Milioni 900…